Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usajili wa Haruna Chanongo Yanga SC kizungumkuti

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Haruna Chanongo. Hans Mloli na
Sweetbert Lukonge
ISHU ya usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Simba, Haruna Chanongo kutua Yanga, imechukua sura mpya baada ya juzi staa huyo kukaa mezani na uongozi wa Yanga lakini hakuna kilichokamilika mpaka jana jioni. Chanongo ambaye amemaliza msimu ulioisha hivi karibuni akiwa na Stand United akiitumikia kwa mkopo kutoka Simba, amekuwa akihusishwa kuwaniwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Yanga ready to sell Haruna Niyonzima

The reigning Mainland champions, Young Africans, are considering cashing in on their Rwandan midfield maestro, Haruna Niyonzima.

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yateka usajili

IMG_5436[1]NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga imeendelea kuteka soko la usajili nchini, baada ya jana mchana kuwanasa wachezaji wawili kwa mpigo, beki wa kushoto Mwinyi Haji Mngwali na kipa wa Kagera Sugar, Benedicto Tinocco.

Usajili wa wachezaji hao unaifanya timu hiyo kufikisha idadi ya wachezaji watatu iliyowasajili mpaka sasa baada ya Jumapili iliyopita kumsainisha winga Deus Kaseke aliyetoka Mbeya City.

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga, Jerry Muro, alilithibitishia...

 

11 years ago

BBCSwahili

Usajili wa Okwi wazuiwa Yanga

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI : Mzimbabwe atua Yanga

Kiungo wa FC Platinum ya Zimbabwe, Thabani Kamusoko amewasili nchini kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Yanga na kusema hakuja Tanzania kukalia benchi.

 

11 years ago

GPL

USAJILI WA OKWI YANGA WAZUIWA

Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda katika timu ya Yanga wakati likisubiri ufafanuzi kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF iliyokutana leo (Januari 22 mwaka huu) kupitia masuala mbalimbali, imesimamisha usajili huo baada ya kubaini kuwa Okwi aliruhusiwa kuichezea...

 

9 years ago

Mwananchi

Usajili Yanga bado kiza

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm bado ana kigugumizi cha kufanya usajili katika kipindi hiki kutokana na klabu kukabiliwa na vikwazo vikubwa viwili.

 

10 years ago

Mtanzania

Usajili Yanga wazidi kutikisa

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

USAJILI mpya wa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga umezidi kutikisa kutokana na jindi klabu hiyo inavyosajili kiufundi.

Baada ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke ambaye anarithi mikoba ya Mrisho Ngassa aliyetimkia Afrika Kusini, klabu hiyo imeendelea na mipango mizito ya usajili wa wachezaji wengine wazawa na wale wa kimataifa ambao wanatarajiwa kutua nchini wiki hii kufanya majaribio.

Uongozi wa timu hiyo jana usiku...

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Yanga, Simba yametimia

>Yanga imeshinda vita ya nje ya Uwanja baada ya kuipata saini ya kiungo Deus Kaseke aliyekuwa akiwaniwa na watani wao, Simba kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Mwananchi

Usajili wa Okwi: Yanga 4, Simba 3

Kama mtindo wa kupiga kura utatumiwa na Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuamua hatima ya mshambuliaji Emmanuel Okwi, basi Yanga ina uhakika wa kupata kura nne na Simba kura tatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani