SIMBA WATAKIWA KUMLIPA CHANONGO MIL 11

Klabu ya Simba SC inatakiwa kumlipa mchezaji Haruni Chanongo sh. 11,400,000, kufikia Aprili 30, 2015 vinginevyo Sekretarieti ya TFF itaanza kukata mapato ya Simba ili kumlipa mchezaji huyo. Iwapo Simba itakuwa na vielelezo vingine katika kikao kinachofuata cha Kamati kitakachofanyika Mei 3, 2015 itafanywa hesabu na Simba kurejeshewa fedha itakayokuwa imezidi.
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF imeagiza kwa klabu ya Simba na klabu nyingine zote kuwa kwa wachezaji wa mkopo, maslahi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Kajala Atamani Kumlipa Wema Mil.13 Zake
Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameibuka na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake Wema Sepetu kama faini ili asiende jela miaka saba.
Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala alisema kuwa huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa anao.
“Huwa nateseka sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa naaamini alitoka kwa mmoja,kinachoniuma muhusika...
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Simba kumlipa Kwizera
NA SAADA SALIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa klabu ya Simba umeamua kumlipa aliyekuwa mchezaji wake, Pierre Kwizera, Sh 8,880,000 (sawa na Dola 4800 za Marekani) kati ya Sh 17,760,000 inazodaiwa.
Kwizera alisajiliwa na Rayon Sport ya Rwanda baada ya Simba kuvunja mkataba wake huku nafasi yake ikichukuliwa na Mganda, Simon Sserunkuma.
Kiungo huyo ameliambia MTANZANIA kuwa amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspope na tayari amelipwa nusu ya fedha ambazo...
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Mashabiki wataka Chanongo, Humoud warudi Simba
11 years ago
GPLYANGA YAINGIZA MIL 86/-, SIMBA MIL 53/-
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Mil. 60 zamshika Mkude Simba
HATIMAYE klabu ya Simba imefanikiwa kumbakiza kiungo wake Jonas Mkude aliyekuwa akimezewa mate na timu za Yanga ama Azam FC katika dirisha la usajili linalotarajiwa kufunguliwa Novemba 15, baada ya...
11 years ago
GPLMECHI YA AZAM, SIMBA YAINGIZA MIL 26/-
10 years ago
Michuzi
SIMBA, YANGA ZAINGIZA MIL 436

Watazamaji 309 walikata tiketi za VIP A, 1,310 VIP B, 1,533 VIP C, Rangi ya Machungwa (Orange) 9,913 huku viti vya rangi ya bluu na kijani wakiingia watazamaji 36,693.
Mgawanyo wa mapato ya mchezo huo ni VAT 18% sh.66,623.796, FDF timu mwenyeji sh. 17,415,300, FDF TFF sh.7,463,700, Gharama za tiketi...
11 years ago
Michuzi
MECHI YA YANGA, SIMBA YAINGIZA MIL 427/-

Washabiki 49,542 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo ambapo viingilio vilikuwa sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 20,000 na sh. 30,000. Asilimia 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh. 65,176,932 wakati asilimia 5 ya gharama ya tiketi kwa CRDB ni sh. 21,363,550.
Kwa upande wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa...
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Maguli ataka Sh50 mil kurudi Simba