Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba kumlipa Kwizera

PIERRE KWIZERANA SAADA SALIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa klabu ya Simba umeamua kumlipa aliyekuwa mchezaji wake, Pierre Kwizera, Sh 8,880,000 (sawa na Dola 4800 za Marekani) kati ya Sh 17,760,000 inazodaiwa.
Kwizera alisajiliwa na Rayon Sport ya Rwanda baada ya Simba kuvunja mkataba wake huku nafasi yake ikichukuliwa na Mganda, Simon Sserunkuma.
Kiungo huyo ameliambia MTANZANIA kuwa amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspope na tayari amelipwa nusu ya fedha ambazo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maguli, Kwizera Simba hapatoshi

>Safu ya ushambuliaji ya Simba imeimarika baada ya kumsajili mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Elias Maguli pamoja na kuwasili kwa kiungo Mrundi Pierre Kwizera (23) jana mchana.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Simba yawazuia Tambwe, Kwizera

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umewazuia nyota wake wa Kimataifa kutoka Burundi, Amis Tambwe na Pierre Kwizera kwenda kwao kujiunga na timu ya taifa inajiandaa na mechi ya kirafiki dhidi...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA WATAKIWA KUMLIPA CHANONGO MIL 11

Klabu ya Simba SC inatakiwa kumlipa mchezaji Haruni Chanongo sh. 11,400,000,  kufikia Aprili 30, 2015 vinginevyo Sekretarieti ya TFF itaanza kukata mapato ya Simba ili kumlipa mchezaji huyo. Iwapo Simba itakuwa na vielelezo vingine katika kikao kinachofuata cha Kamati kitakachofanyika Mei 3, 2015 itafanywa hesabu na Simba kurejeshewa fedha itakayokuwa imezidi.
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF imeagiza kwa klabu ya Simba na klabu nyingine zote kuwa kwa wachezaji wa mkopo, maslahi...

 

11 years ago

Mwananchi

Malinzi, wadau kumlipa Kim

>Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi jana alitangaza rasmi kuondolewa kwa kocha Kim Poulsen, lakini akashindwa kueleza sababu za kuachana na mwalimu huyo kutoka Denmark.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal kumlipa Wilshere £100,000

Arsenal itapuuzilia mbali hamu ya Manchester City ya kutaka kumsajili kiungo wake wa kati Jack Wilshere kwa kumpatia mkataba mwengine wa miaka mitano pamoja na kuongeza mshahara wake mara mbili ya anavyopata.

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala Atamani Kumlipa Wema Mil.13 Zake

Staa  mrembo  wa Bongo Movies, Kajala Masanja  kwa mara ya kwanza  ameibuka  na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake  Wema Sepetu kama faini ili asiende jela miaka saba.

Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala  alisema  kuwa huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa anao.

“Huwa  nateseka  sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa naaamini alitoka kwa mmoja,kinachoniuma muhusika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Chan kumlipa mgunduzi wa kinga ya corona wakati Idadi ya vifo ikifikia 1000

Wakati China ikiendelea kupambana ili kutokomeza ugonjwa wa corona mwigizaji maarufu duniani anaahidi kutoa fedha kwa watakao fanikisha kupatikana kwa kinga ya ugojwa huo.

 

10 years ago

Dewji Blog

VODACOM kuburuzwa kortini ni baada ya kushindwa kumlipa Sh.Milioni 100 mshindi wa mchezo wa “Jay Millions”

Danny Paul Njau, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo.

Mshindi wa mchezo wa kubahatisha wa Jay Millions, Danny Paul Njau (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Kampuni ya Simu ya Vodacom kushindwa kumpa zawadi yake ya sh.milioni 100 baada ya kushinda mchezo huo.

Mshindi wa mchezo wa kubahatisha wa Jay Millions, Danny Paul Njau (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Kampuni ya Simu ya Vodacom kushindwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: HAIRUHUSIWI SERIKALI YA MTAA KUGEUZA ARDHI YA MTU NJIA BILA KUMLIPA FIDIA

Na  Bashir  Yakub.
Kuna malalamiko  katika  baadhi  ya  maeneo   na  zaidi  malalamiko  haya   yamekuwa  yakielekezwa  kwa   mamlaka  za  serikali  za  mitaa. Nimewahi  kuandika  kuhusu   ukiukaji  wa  taratibu  mbalimbali   ambao  hufanywa   na  serikali  za  mitaa  katika  maeneo  au  ardhi  za  watu.  Pia  niliandika  kuhusu  upotoshi  wa  mamlaka  za  serikali  za  mitaa  katika  kuwaandalia  watu  mikataba  ya  mauzo  ya  ardhi  wakati  wakijua  kuwa  hawaruhusiwi  kufanya  hivyo  jambo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani