Arsenal kumlipa Wilshere £100,000
Arsenal itapuuzilia mbali hamu ya Manchester City ya kutaka kumsajili kiungo wake wa kati Jack Wilshere kwa kumpatia mkataba mwengine wa miaka mitano pamoja na kuongeza mshahara wake mara mbili ya anavyopata.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Jun
Wilshere:Mimi ni Arsenal sitaki Man City
10 years ago
Dewji Blog05 Jun
VODACOM kuburuzwa kortini ni baada ya kushindwa kumlipa Sh.Milioni 100 mshindi wa mchezo wa “Jay Millions”
Danny Paul Njau, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo.
Mshindi wa mchezo wa kubahatisha wa Jay Millions, Danny Paul Njau (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Kampuni ya Simu ya Vodacom kushindwa kumpa zawadi yake ya sh.milioni 100 baada ya kushinda mchezo huo.
Mshindi wa mchezo wa kubahatisha wa Jay Millions, Danny Paul Njau (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Kampuni ya Simu ya Vodacom kushindwa...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA VODACOM KUBURUZWA KORTINI NI BAADA YA KUSHINDWA KUMLIPA SH.MILIONI 100 MSHINDI WA MCHEZO WA JAY MILLIONS
5 years ago
VentureBeat30 Mar
HQ Trivia returns with surprise $1,000 show and $100,000 donation
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
11 years ago
TheCitizen27 Feb
UTT clocks 100,000 investors
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Vyeti vilivyopotea kulipiwa sh. 100,000
NA RACHEL KYALA
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limeanzisha utaratibu wa kutoa nakala za vyeti kwa watahiniwa waliopoteza vyeti vyao kwa gharama ya sh. 100,000.
Utaratibu huo utawanufaisha watahiniwa waliohitimu kuanzia mwaka 2008, ambao vyeti vyao viliwekwa picha.
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde, akizungumza jijini Dar es Salaam jana, alisema hatua hiyo itapunguza changamoto zilizokuwa zikiwakabili watahiniwa waliopoteza vyeti vyao kwa sababu mbalimbali.
"Baraza limeweka...
11 years ago
Habarileo02 Feb
Kanisa lauza Sakramenti Sh 100,000
WAUMINI wa Kanisa la Break Through Assemblies lililoko eneo la Boko Magengeni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam linadaiwa kuuza Sakramenti kwa Sh 100,000 kwa kila muumini. Hatua hiyo inadaiwa kuwanyima wasio na fedha chakula hicho cha Bwana hivyo kusababisha malalamiko dhidi ya uongozi wa Kanisa hilo la Walokole.
9 years ago
Mtanzania10 Oct
Kadi za kura zauzwa 100,000/-
*Wanaume wadaiwa kuiba za wake zao
NA ARODIA PETER, DAR ES SALAAM
ZIKIWA zimebaki siku 14 kabla ya Watanzania kupiga kura, baadhi ya watu katika Kisiwa cha Goziba wilayani Muleba mkoani Kagera wanadaiwa kununua vitambulisho vya kupigia kura vilivyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wakazi wa kisiwa hicho walipiga simu katika gazeti la MTANZANIA wakimtuhumu mmoja wa wagombea udiwani wa Kata ya Goziba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masaba Nkunami, kuwa ndiye kinara wa ununuzi huo...