Vyeti vilivyopotea kulipiwa sh. 100,000
NA RACHEL KYALA
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limeanzisha utaratibu wa kutoa nakala za vyeti kwa watahiniwa waliopoteza vyeti vyao kwa gharama ya sh. 100,000.
Utaratibu huo utawanufaisha watahiniwa waliohitimu kuanzia mwaka 2008, ambao vyeti vyao viliwekwa picha.
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde, akizungumza jijini Dar es Salaam jana, alisema hatua hiyo itapunguza changamoto zilizokuwa zikiwakabili watahiniwa waliopoteza vyeti vyao kwa sababu mbalimbali.
"Baraza limeweka...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Hati ya kusafiria iliyopotea kulipiwa 200,000
IDARA ya Uhamiaji nchini imeongeza ada kwa waombaji wa hati ya kusafiria zilizopotea kutokana na kubaini kuwa wamiliki wa hati hizo wengi wao wamekuwa wakitoa taarifa za uongo ikiwa ni...
5 years ago
VentureBeat30 Mar
HQ Trivia returns with surprise $1,000 show and $100,000 donation
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Wanafunzi 7,000 wapata vyeti vya kuzaliwa
ZAIDI ya wafunzi 7,400 wa shule za msingi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wamepatiwa vyeti vya kuzaliwa. Akizungumza na Tanzania Daima jana wakati wa maonyesho ya Wiki ya...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Necta kutoa vyeti mbadala kwa Sh100,000
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
11 years ago
Habarileo02 Feb
Kanisa lauza Sakramenti Sh 100,000
WAUMINI wa Kanisa la Break Through Assemblies lililoko eneo la Boko Magengeni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam linadaiwa kuuza Sakramenti kwa Sh 100,000 kwa kila muumini. Hatua hiyo inadaiwa kuwanyima wasio na fedha chakula hicho cha Bwana hivyo kusababisha malalamiko dhidi ya uongozi wa Kanisa hilo la Walokole.
11 years ago
TheCitizen27 Feb
UTT clocks 100,000 investors
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Arsenal kumlipa Wilshere £100,000
9 years ago
Mtanzania10 Oct
Kadi za kura zauzwa 100,000/-
*Wanaume wadaiwa kuiba za wake zao
NA ARODIA PETER, DAR ES SALAAM
ZIKIWA zimebaki siku 14 kabla ya Watanzania kupiga kura, baadhi ya watu katika Kisiwa cha Goziba wilayani Muleba mkoani Kagera wanadaiwa kununua vitambulisho vya kupigia kura vilivyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Wakazi wa kisiwa hicho walipiga simu katika gazeti la MTANZANIA wakimtuhumu mmoja wa wagombea udiwani wa Kata ya Goziba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masaba Nkunami, kuwa ndiye kinara wa ununuzi huo...