Maguli, Kwizera Simba hapatoshi
>Safu ya ushambuliaji ya Simba imeimarika baada ya kumsajili mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Elias Maguli pamoja na kuwasili kwa kiungo Mrundi Pierre Kwizera (23) jana mchana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Simba kumlipa Kwizera
NA SAADA SALIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa klabu ya Simba umeamua kumlipa aliyekuwa mchezaji wake, Pierre Kwizera, Sh 8,880,000 (sawa na Dola 4800 za Marekani) kati ya Sh 17,760,000 inazodaiwa.
Kwizera alisajiliwa na Rayon Sport ya Rwanda baada ya Simba kuvunja mkataba wake huku nafasi yake ikichukuliwa na Mganda, Simon Sserunkuma.
Kiungo huyo ameliambia MTANZANIA kuwa amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspope na tayari amelipwa nusu ya fedha ambazo...
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
Simba yawazuia Tambwe, Kwizera
UONGOZI wa Klabu ya Simba, umewazuia nyota wake wa Kimataifa kutoka Burundi, Amis Tambwe na Pierre Kwizera kwenda kwao kujiunga na timu ya taifa inajiandaa na mechi ya kirafiki dhidi...
9 years ago
Habarileo21 Nov
Maguli aitolea nje Simba SC
MSHAMBULIAJI Elias Maguli amesema kwamba anaweza kujiunga na timu yoyote, lakini si Simba. Alisema kuwa hataki kabisa kurejea Simba na zaidi anafikiria kwenda kucheza soka nje ya nchi.
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Maguli: Nimefarijika kuachana na Simba
LIMEKUWA jambo la kawaida kwa timu kubwa za soka hapa nchini, kila inapofikia kipindi cha usajili
Mwandishi Wetu
9 years ago
StarTV20 Aug
Maguli asema Nimefarijika kuachana na Simba
Ikiwa dirisha la usajili linatarajia kufungwa leo kwa klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza, bado matatizo kama hayo yameendelea kujitokeza licha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutoa onyo kwa klabu zenye mtindo huo.
Hivi karibuni kulizuka suala la mshambuliaji wa Simba,...
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Simba, Maguli na sizitaki mbichi hizi
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Maguli ataka Sh50 mil kurudi Simba
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Simba, KCCA hapatoshi leo
9 years ago
Habarileo20 Sep
Simba, Kagera hapatoshi Taifa leo
KIKOSI cha Simba kilitua jijini Dar es Salaam jana kikitokea Tanga tayari kwa kukabiliana na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.