Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maguli asema Nimefarijika kuachana na Simba

LIMEKUWA jambo la kawaida kwa timu kubwa za soka hapa nchini, kila inapofikia kipindi cha usajili kuibua matatizo mbalimbali ya wachezaji ikiwemo madeni au wachezaji kuachwa bila utaratibu.

Ikiwa dirisha la usajili linatarajia kufungwa leo kwa klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza, bado matatizo kama hayo yameendelea kujitokeza licha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutoa onyo kwa klabu zenye mtindo huo.
Hivi karibuni kulizuka suala la mshambuliaji wa Simba,...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Maguli: Nimefarijika kuachana na Simba

LIMEKUWA jambo la kawaida kwa timu kubwa za soka hapa nchini, kila inapofikia kipindi cha usajili

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Mwananchi

Maguli, Kwizera Simba hapatoshi

>Safu ya ushambuliaji ya Simba imeimarika baada ya kumsajili mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Elias Maguli pamoja na kuwasili kwa kiungo Mrundi Pierre Kwizera (23) jana mchana.

 

9 years ago

Habarileo

Maguli aitolea nje Simba SC

MSHAMBULIAJI Elias Maguli amesema kwamba anaweza kujiunga na timu yoyote, lakini si Simba. Alisema kuwa hataki kabisa kurejea Simba na zaidi anafikiria kwenda kucheza soka nje ya nchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Simba, Maguli na sizitaki mbichi hizi

Mshambuliaji wa Stand United, Elius Maguli amesema hata apewe nini hawezi kurejea Simba na mipango yake sasa ni kucheza soka la kulipwa nje ya nchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Maguli ataka Sh50 mil kurudi Simba

Mshambuliaji wa Stand United na kinara wa mabao katika Ligi Kuu Tanzania Bara, Elius Maguli ameitaka Simba kumpa dau la Sh50 milioni ili kumwaga wino wa kuichezea klabu hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeua simba Zimbabwe asema hakukosea

Daktari wa meno aliyeua simba maarufu Zimbabwe asema hakukosea

 

9 years ago

TheCitizen

Maguli, Samatta goals not enough

Taifa Stars missed a chance to take a giant lead into the second leg of the 2018 World Cup qualifier after playing out a 2-2 draw against Algeria at the National Stadium yesterday.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha awafagilia Uhuru, Maguli

Kocha wa Zesco United ya Zambia, George Lwandamina ameichambua Simba akisema muunganiko wa winga Uhuru Selemani na mshambuliaji Elius Maguli ni hatari zaidi.

 

9 years ago

Mwananchi

Maguli ajivunia kucheza na Samatta

Kinara wa ufungaji katika Ligi Kuu Tanzania Bara, Elius Maguli amesema ushirikiano wake na Mbwana Samatta utaifanya Taifa Stars iwe na safu tishio ya ushambuliaji Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani