Chanongo atengwa Stars, Azam fc yamzingua
Kiungo Haruna Chanongo. Ibrahim Mussa,Dar es Salaam KIUNGO Haruna Chanongo aliyeitwa katika kikosi cha Taifa Stars kujiandaa na mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2017, jana Ijumaa alitengwa katika mazoezi ya timu hiyo yaliyosimamiwa na Kocha Mart Nooij. Wakati Chanongo akitengwa kwenye mazoezi hayo, Azam FC imesema haina mpango na mchezaji huyo licha ya kupiga picha akiwa amevaa jezi ya timu hiyo ambayo ilisambaa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania24 Jan
JK atengwa kura ya maoni
Rais Jakaya Kikwete
EVANS MAGEGE NA VERONICA ROMWALD,
RAIS Jakaya Kikwete sasa ametengwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) katika matamanio yake ya kutaka Katiba mpya ya Tanzania ipatikane kabla ya kumalizika kwa mwaka 2015.
Pamoja na Ukawa, kundi jingine lililoonyesha kujitenga naye katika matamanio yake hayo ni Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ambacho kimeitaka Tume ya Uchaguzi kuahirisha zoezi la upigaji kura ya maoni hadi pale daftari la wapiga kura...
11 years ago
GPLLUCY KOMBA ATENGWA BONGO MOVIE
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Azam yatoa saba Taifa Stars
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Kambi ya Taifa Stars yaiharibia Azam
10 years ago
TheCitizen20 Jul
Bocco stars as Azam stun KCC
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Coronavirus: Odion Ighalo atengwa na wachezaji wengine wa Man United
11 years ago
GPLIVO, CANNAVARO WATEMWA STARS, MAKIPA WOTE WA AZAM WACHUKULIWA
11 years ago
GPLMessi, Chanongo waitikisa Zanzibar
10 years ago
TheCitizen26 May
Giants battle for Utd’s Chanongo