MAPENZI MAPENZINI HAYANA UAFANDE WALA USELA
Nipale walivyoshindwa kujizuia hisia zao na kuamua kufanya yao kiroho safi licha ya kuwa ndani ya vazi la kazini.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 Sep
10 years ago
Bongo Movies05 Dec
MAPENZINI:Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na Kajala
Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu, Kajala Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Quick amesema ana girlfriend hivyo uvumi huo unaweza ukamharibia uhusiano wake.“Nasema hapana Kajala mimi sister yangu, tunafanya naye kazi na nimeunganishwa na Lamata. Lamata ni director ninayemmfahamu zamani kidogo kipindi kile tunafanya ‘Mbwa Mwitu’ tulikuwa wote, Lamatah, Hemedy! Unajua mnavyofanya movie ni tofauti na kufanya video, kwa mfano wakati tunafanya ile...
10 years ago
Bongo524 Aug
New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Malumbano ya EALA hayana mashiko
WIKI iliyopita ulijitokeza mvutano mkubwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA) na kukwamisha shughuli za Bunge hilo baada ya baadhi ya wabunge kugoma, wakitaka kwanza Mbunge kutoka Tanzania, Shyrose...
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
Maendeleo hayana chama — asema Magufuli
Waziri Wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt.John MagufuliaAkifurahia na wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika kata ya Kasenga katika Jimbo la Chato Mkoani Geita.
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Mkuu wa wilaya ya Chato Rodrick Mpogolo wa pili kutoka kushoto pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Chato Ndugu Clement Berege (wakwanza kulia). wa kwanza kushoto...
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
RT: Madudu ya Madola hayana harufu ya Katiba
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amesema kukosekana kwa katiba katika Shirikisho hilo sio sababu ya wanamichezo kufanya vibaya katika mashindano ya Kitaifa na Kimataifa. Akizungumza...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.
Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni, Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa
“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...
10 years ago
Mwananchi31 Jan
‘Machungwa ya Tanga hayana sifa ya kuwa juisi’
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/qStJSplkExo/default.jpg)