Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RT: Madudu ya Madola hayana harufu ya Katiba

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amesema kukosekana kwa katiba katika Shirikisho hilo sio sababu ya wanamichezo kufanya vibaya katika mashindano ya Kitaifa na Kimataifa. Akizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Malumbano ya EALA hayana mashiko

WIKI iliyopita ulijitokeza mvutano mkubwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA) na kukwamisha shughuli za Bunge hilo baada ya baadhi ya wabunge kugoma, wakitaka kwanza Mbunge kutoka Tanzania, Shyrose...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maendeleo hayana chama — asema Magufuli

DSC_0616

Waziri Wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt.John MagufuliaAkifurahia na wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika kata ya Kasenga katika Jimbo la Chato Mkoani Geita.

DSC_0494

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa maelekezo  kwa Mkuu wa wilaya ya  Chato Rodrick Mpogolo wa pili kutoka kushoto pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Chato Ndugu Clement Berege (wakwanza kulia). wa kwanza kushoto...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

‘Machungwa ya Tanga hayana sifa ya kuwa juisi’

Serikali imesema matunda yanayolimwa katika Mkoa wa Tanga licha ya kuwa ni mengi lakini bado hayana sifa ya kutengeneza juisi.

 

10 years ago

Vijimambo

MAPENZI MAPENZINI HAYANA UAFANDE WALA USELA

Nipale walivyoshindwa kujizuia hisia zao na kuamua kufanya yao kiroho safi licha ya kuwa ndani ya vazi la kazini.

 

9 years ago

Raia Mwema

‘Harufu’ ya urais ilianzia Kahama

HADI saa nne za asubuhi ya Oktoba 26 mwaka huu, mgombea wa ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Waandishi Wetu

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TTCL YAKANUSHA MADAI YA TEWUTA, YADAI HAYANA UKWELI WOWOTE


Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi akizungumza na vyombo vya habari Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam kujibu madai ya TEWUTA.Baadhi ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mazungumzo ya Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (hayupo pichani) alipozungumza na vyombo hivyo leo jioni. KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imepinga madai yaliyotolewa na Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa...

 

10 years ago

GPL

JOSLIN: SIJAWAHI KUPENDA HARUFU YA BANGI

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyetamba na ngoma ya Niite Basi, Joslin Robert Mchalla ‘Joslin’ katika pozi. MSANII wa muziki wa kizazi kipya aliyetamba na ngoma ya Niite Basi, Joslin Robert Mchalla ‘Joslin’, amefungua kinywa chake na kusema kuwa hakuwahi kuvuta bangi wala kutumia madawa ya kulevya lakini ‘anazimia’ sana bia, huku akisisitiza yeye na bia ni damudamu.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani