Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOSLIN: SIJAWAHI KUPENDA HARUFU YA BANGI

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyetamba na ngoma ya Niite Basi, Joslin Robert Mchalla ‘Joslin’ katika pozi. MSANII wa muziki wa kizazi kipya aliyetamba na ngoma ya Niite Basi, Joslin Robert Mchalla ‘Joslin’, amefungua kinywa chake na kusema kuwa hakuwahi kuvuta bangi wala kutumia madawa ya kulevya lakini ‘anazimia’ sana bia, huku akisisitiza yeye na bia ni damudamu.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BATULI: SIJAWAHI KUPENDA KAMA MTUNIS

Na Gabriel Ng’osha KWA mara nyingine, staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf  ‘Batuli’ amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpenda mwanaume kama alivyompenda Nice Mohammed ‘Mtunis’. Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf  ‘Batuli’ Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Batuli alisema licha ya kuwa walimwagana na staa huyo lakini hatokuja kupenda mwanaume kama...

 

10 years ago

Bongo5

Linex: Mimi sijawahi kua mvuta bangi maisha yangu yote na kama ninavuta Mungu ananiona

Kuna baadhi ya watu ambao huamini kuwa mtu akishakuwa msanii wa muziki ni lazima atakua mtumiaji wa vilevi kama bangi, na wapo wanaoamini kuwa binti akishaingia kwenye sanaa ya urembo pia ni lazima atajihusisha na umalaya, kitu ambacho si kweli kwasababu hiyo ni tabia ya mtu binafsi. Linex Sunday Mjeda leo ameamua kujibu swali ambalo […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Joslin: Nilipumzika kuangalia nitoke vipi

MSANII aliyewahi kutesa katika kundi la Wakali Kwanza, Joslin, amesema ukimya wake katika tasnia ya Bongo Fleva ulitokana na kujipa muda wa kujipanga upya ikiwemo kulisoma soko linataka nini kulingana...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Joslin ft Stopa Rhymes — Tesa Naye

Msanii Joslin akishirikisha na Stopa Rhymes ameachia video mpya wa wimbo wake ‘Tesa Naye’ iliyoongozwa na Numark Production.

 

9 years ago

Raia Mwema

‘Harufu’ ya urais ilianzia Kahama

HADI saa nne za asubuhi ya Oktoba 26 mwaka huu, mgombea wa ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Waandishi Wetu

 

10 years ago

BBCSwahili

Harufu ya Choo yalazimu ndege ya BA kutua

Ndege moja ya shirika la ndege la British Airways imelazimika kutua kufuatia harufu mbaya iliyokuwa ikitokea kwa choo

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manyoya ya twiga hutoa harufu ya kinga

KATIKA moja ya makala zilizotangulia tuliona kuwa ingawa wanaonekana wanafanana, lakini twiga wanaweza kutofautishwa na mpangilio wa urembo wa rangi zao za ngozi. Leo tuendelee kuangalia sifa za mnyama huyu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

RT: Madudu ya Madola hayana harufu ya Katiba

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amesema kukosekana kwa katiba katika Shirikisho hilo sio sababu ya wanamichezo kufanya vibaya katika mashindano ya Kitaifa na Kimataifa. Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kukabili harufu mbaya miguuni

Miguu kutoa harufu mbaya ni tatizo sugu linalowakabili baadhi ya watu katika jamii, wengi wakiwa wanaume.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani