BATULI: SIJAWAHI KUPENDA KAMA MTUNIS
![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgiSQvCFm7dc2cYIb78UaBc154kOQZNrHz9rWvrGKweVFhdUDWki5RNMZXjkk9RxzsSYzz3EKXEJoLsEabBC8Fq/batuli.jpg)
Na Gabriel Ng’osha KWA mara nyingine, staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpenda mwanaume kama alivyompenda Nice Mohammed ‘Mtunis’. Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Batuli alisema licha ya kuwa walimwagana na staa huyo lakini hatokuja kupenda mwanaume kama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3wFtaJ0SypkMtclBEvkXEOwPR*FX1I2lN2q*ug2YB6Mjkjdf5b1HnRtn5Z0GLv6hovd8zHhG123eZjTDnxP*Zgg/batu.jpg)
TAMBO BATULI AMLIPUA MTUNIS
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q2nE6LdYf841Gyx1DtKwC1xW9fOo4vnW*ALu9GDigLWITrMiR8dIBHpxlH0BsQMuD3KIHL7t1Ke5nG4uw7kGl5F/BATULI.jpg?width=650)
BATULI ADAIWA KUITIKISA NDOA YA MTUNIS
10 years ago
GPLJOSLIN: SIJAWAHI KUPENDA HARUFU YA BANGI
10 years ago
Mtanzania22 May
BATULI: Kanumba kama kaacha laana kwenye filamu za bongo
NA FESTO POLEA
APRILI 7 mwaka 2012 tasnia ya filamu ilipatwa na majonzi makubwa kutokana na kifo cha aliyekuwa mwigizaji nguli, Steven Kanumba, ambaye alikuwa kipenzi cha wengi ndani na nje ya nchi.
Licha ya wengi kutokuamini kwa muda huo, baada ya muda ikagundulika kweli amefariki, hivyo majonzi zaidi yakarindima, huku kila mtu akisema lake kuhusu kifo hicho.
Baada ya mazishi yake mashabiki walijipa matumaini kwamba tasnia hiyo licha ya kumpoteza mwigizaji huyo ingeendelea vema kutokana na...
10 years ago
Bongo511 Oct
Linex: Mimi sijawahi kua mvuta bangi maisha yangu yote na kama ninavuta Mungu ananiona
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
Mtunis Amuwekea Ngumu Mkewe, Mke Ajuta!
Staa wa bongo movies, Nice Mohammed ‘Mtunis’ amesema lich aya kuombwa radhi na mkewe Aziza Abdallah baada ya kushitakiana mahakamani kwamwe hatorudi myuma na kurudiana naye
Akiongea na gazeti la Kiu, kuhusiana na swala zima la mahusiano yao Mtunisi alisema kuwa kwa sasa ameamua kupumzika na kuangalia masiha yake baaada ya purukushani kubwa ambazo zimemfanya awe makini na wanawake.
Kwakweli siwezi kurudiana na mke wangu licha ya kuomba radhi na kudai mashoga ndio wamemponza kama kweli...
10 years ago
Bongo Movies19 Apr
Mtunis Atoboa Haya Kuhusu Tasnia ya Filamu
Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘mtunis’ amesema kuwa tasnia ya uigizaji inahitaji umakini zaidi ili kujikosoa penye makosa. Alisema licha ya kwamba filamu zinadaiwa hazilipi hiyo siyo sababu yakutayarisha zisizokuwa na ubora.
Alifafanua hata wakongwe wanapoibua chipukizi wanapaswa kuzingatia wenye vipaji zaidi ili tasnia huyo iendelee kufanya vizuri .
Alieleza kuwa hakuna kitu kibaya kama mtu anayekuamini akikudharau harudi nyuma, hivyo kwa kuwa makini kutayarisha filamu bora na...
10 years ago
Bongo Movies21 Apr
Huu Ndio Wito wa Mtunis kwa Watanzania Waishio ‘SAUZI’
Utani Kidogo: Kufuatia kile kinachoendelea kule Afrika Kusini, na tamko la waziri wa mambo ya nje wa hapa Tanzania, Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘Mtunis’ ameandika hii kwenye kukursa wake mtandaoni
"Haya jamani wale wenzangu na mimi ambao mumekaa muda mrefu huko SOUTH AFRICA na ukajikuta hata nauli ya kurudia NYUMBANI huna mbaya zaidi hata sababu ya kujitetea muda wote huo umekaa huko huna ulichokifanya mungu keshashua neema yake ni kiasi tu cha kwenda pale kwenye ile KAMBI YA...
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Uhuru wa kupenda na kupendwa