TAMBO BATULI AMLIPUA MTUNIS
STAA wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwigizaji Nice Mohammed ‘Mtunis’, amemchana zilipendwa wake huyo kwa kumwambia hana mvuto! Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli. Kuonesha msisitizo, Batuli alisema kwa Mtunis ilikuwa ni kama daraja tu, alishapita hivyo hana mpango naye tena kwani tayari amepata mchumba wa Kizungu, raia wa nchi moja...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBATULI ADAIWA KUITIKISA NDOA YA MTUNIS
11 years ago
GPLBATULI: SIJAWAHI KUPENDA KAMA MTUNIS
10 years ago
Bongo Movies19 Apr
Mtunis Atoboa Haya Kuhusu Tasnia ya Filamu
Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘mtunis’ amesema kuwa tasnia ya uigizaji inahitaji umakini zaidi ili kujikosoa penye makosa. Alisema licha ya kwamba filamu zinadaiwa hazilipi hiyo siyo sababu yakutayarisha zisizokuwa na ubora.
Alifafanua hata wakongwe wanapoibua chipukizi wanapaswa kuzingatia wenye vipaji zaidi ili tasnia huyo iendelee kufanya vizuri .
Alieleza kuwa hakuna kitu kibaya kama mtu anayekuamini akikudharau harudi nyuma, hivyo kwa kuwa makini kutayarisha filamu bora na...
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
Mtunis Amuwekea Ngumu Mkewe, Mke Ajuta!
Staa wa bongo movies, Nice Mohammed ‘Mtunis’ amesema lich aya kuombwa radhi na mkewe Aziza Abdallah baada ya kushitakiana mahakamani kwamwe hatorudi myuma na kurudiana naye
Akiongea na gazeti la Kiu, kuhusiana na swala zima la mahusiano yao Mtunisi alisema kuwa kwa sasa ameamua kupumzika na kuangalia masiha yake baaada ya purukushani kubwa ambazo zimemfanya awe makini na wanawake.
Kwakweli siwezi kurudiana na mke wangu licha ya kuomba radhi na kudai mashoga ndio wamemponza kama kweli...
10 years ago
Bongo Movies21 Apr
Huu Ndio Wito wa Mtunis kwa Watanzania Waishio ‘SAUZI’
Utani Kidogo: Kufuatia kile kinachoendelea kule Afrika Kusini, na tamko la waziri wa mambo ya nje wa hapa Tanzania, Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘Mtunis’ ameandika hii kwenye kukursa wake mtandaoni
"Haya jamani wale wenzangu na mimi ambao mumekaa muda mrefu huko SOUTH AFRICA na ukajikuta hata nauli ya kurudia NYUMBANI huna mbaya zaidi hata sababu ya kujitetea muda wote huo umekaa huko huna ulichokifanya mungu keshashua neema yake ni kiasi tu cha kwenda pale kwenye ile KAMBI YA...
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Dk. Slaa amlipua JK
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kuzungumzia rasimu ya siri ya Katiba inayodaiwa kuandaliwa na Chama Cha Mapinduzi...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Mbowe amlipua JK
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amemvaa Rais Jakaya Kikwete, akimtaka kuacha kutafuta huruma ya Watanzania juu ya suala la Katiba na badala yake atumie nafasi...
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mdee amlipua Tibaijuka
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amemlipua Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, kwamba anamiliki maelfu ya ekari za ardhi katika maeneo mbalimbali nchini. Mdee...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Mnyika amlipua Muhongo
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemlipua Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, kwamba ni muongo kwani ameshalidanganya Bunge zaidi ya mara tatu. Mbunge huyo ambaye pia ni...