Joslin: Nilipumzika kuangalia nitoke vipi
MSANII aliyewahi kutesa katika kundi la Wakali Kwanza, Joslin, amesema ukimya wake katika tasnia ya Bongo Fleva ulitokana na kujipa muda wa kujipanga upya ikiwemo kulisoma soko linataka nini kulingana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLJOSLIN: SIJAWAHI KUPENDA HARUFU YA BANGI
10 years ago
Bongo529 Sep
New Video: Joslin ft Stopa Rhymes — Tesa Naye
10 years ago
GPL24 Mar
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/xG_Z8b8t42E/default.jpg)
10 years ago
Habarileo20 Feb
160 Tacceo kuangalia uandikishaji BVR
MTANDAO wa Asasi za Kiraia wa Kuangalia Chaguzi Tanzania (Tacceo) unatarajia kutuma waangalizi 160 katika wilaya zote nchini ambao wataangalia uandikishaji wa wapiga kura kwa kutumia Mfumo mpya wa Teknolojia ya Alama (Biometric Voters Registration- BVR).
9 years ago
Habarileo06 Oct
‘Iko haja kuangalia utaratibu wa Hija’
WAKATI Watanzania wakiendelea kuomboleza vifo vya mahujaji wanane na wengine waliojeruhiwa huko nchini Saudia Arabia, Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakari Zuberi ameiomba serikali kuangalia utaratibu wa kuzungumza na Saudia ili kuweka utaratibu mzuri wa ibada ya Hijja utakaosaidia kuepukana na madhara yaliyojitokeza mwaka huu kutokana na kufungwa kwa njia moja.
11 years ago
Habarileo01 Mar
Serikali kuangalia kodi ya VAT katika nyumba
WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka amesema watakaa na mamlaka husika na kuangalia uwezekano wa kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika nyumba, zinazojengwa na mifuko ya hifadhi ya jamii ili ziweze kuuzwa kwa wananchi kwa bei inayoridhisha.
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Kutolewa Mali, CAF kuangalia upya kanuni