Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Namna ya kukabili harufu mbaya miguuni

Miguu kutoa harufu mbaya ni tatizo sugu linalowakabili baadhi ya watu katika jamii, wengi wakiwa wanaume.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Yanayosababisha mdomo kutoa harufu mbaya

Katika maisha ya kila siku inawezekana umewahi kukutana na mtu ambaye ukiwa karibu naye kimazungumzo, utagundua anatoa harufu mbaya mdomoni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Namna ya kukabili vurugu

Video ya namna ya kuripoti katika vurugu

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kukabili wizi bodaboda

Juni mwaka jana, Jiji la Dar es Salaam lilitikiswa na habari ya majambazi kumuua kwa kumpiga risasi mtawa Clencensia Kapuli (50) na kupora kiasi kikubwa cha fedha. Mbali na tukio hilo, jiji pia lilizizima Agosti mwaka jana baada ya taarifa za kuuawa kwa Edson Cheyo, ambaye alikuwa mmiliki wa Kampuni ya Sowers African.

 

9 years ago

Mwananchi

Namna ya kukabili maradhi ya moyo

Maradhi ya moyo yanajumuisha kupanda kwa shinikizo la damu, kuziba kwa mishipa ya moyo, mshtuko wa moyo, kupungua uwezo wa utendaji wa moyo na moyo kushindwa kusukuma damu ya kutosha.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kukabili maumivu makali ya uti wa mgongo

Wiki iliyopita tuliona jinsi tatizo la mgongo linavyosumbua watu wengi dunia. Tuliona pia vyanzo vyake na jinsi upungufu wa viinilishe mwilini na madhara ya kazi yanavyochangia kutokea kwa tatizo hili.

 

10 years ago

GPL

AUZA MAHINDI, AUGUA FANGASI MIGUUNI

Staa wa Filam za Bongo, Jacob Steven 'JB'. MPENZI msomaji, wiki iliyopita tulikomea pale JB alipokuwa anasimulia jinsi alivyojibizana na wazazi wake hadharani baada ya kuambiwa jambo ambalo aliona kabisa halikuwa sahihi kwa wakati ule. Je, ni jambo gani hilo? Teremsha macho hapa chini. “Waliniambia kuwa wamefikiria na kuona nafaa kurudi tena shuleni, jambo lililonipelekea kubishana nao kwa wazi na kwa mara ya kwanza kabisa...

 

5 years ago

Michuzi

Baada ya mapumziko ya miezi mitatu, mpira unazunguka miguuni tena

KWANZIA leo, tutakuwa na uwezo wa kufurahia Ligi nyingine ya mpira wa miguu ikicheza. Sote tunafahamu orodha ya ubashiri haipendezi kama Serie A haipo.
Kurejea kwake ni kama mpira halisi umemkuta anae bashiri, na ofa maalum kutoka Meridian huwezi kuikataa kwani kuna ofa ya machaguo Zaidi ya 5000 kwa siku tatu tu!
Hali ilivyo sio ya kutabirika - Lazio wapo makini kwenye mashindano wakiwa alama moja nyuma ya Juventus, ambao tayari wamepoteza Kombe la nyumbani dhidi ya wapinzani wao Napoli....

 

9 years ago

Raia Mwema

‘Harufu’ ya urais ilianzia Kahama

HADI saa nne za asubuhi ya Oktoba 26 mwaka huu, mgombea wa ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Waandishi Wetu

 

10 years ago

GPL

JOSLIN: SIJAWAHI KUPENDA HARUFU YA BANGI

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyetamba na ngoma ya Niite Basi, Joslin Robert Mchalla ‘Joslin’ katika pozi. MSANII wa muziki wa kizazi kipya aliyetamba na ngoma ya Niite Basi, Joslin Robert Mchalla ‘Joslin’, amefungua kinywa chake na kusema kuwa hakuwahi kuvuta bangi wala kutumia madawa ya kulevya lakini ‘anazimia’ sana bia, huku akisisitiza yeye na bia ni damudamu.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani