Namna ya kukabili wizi bodaboda
Juni mwaka jana, Jiji la Dar es Salaam lilitikiswa na habari ya majambazi kumuua kwa kumpiga risasi mtawa Clencensia Kapuli (50) na kupora kiasi kikubwa cha fedha. Mbali na tukio hilo, jiji pia lilizizima Agosti mwaka jana baada ya taarifa za kuuawa kwa Edson Cheyo, ambaye alikuwa mmiliki wa Kampuni ya Sowers African.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Namna ya kukabili maradhi ya moyo
Maradhi ya moyo yanajumuisha kupanda kwa shinikizo la damu, kuziba kwa mishipa ya moyo, mshtuko wa moyo, kupungua uwezo wa utendaji wa moyo na moyo kushindwa kusukuma damu ya kutosha.
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Namna ya kukabili harufu mbaya miguuni
Miguu kutoa harufu mbaya ni tatizo sugu linalowakabili baadhi ya watu katika jamii, wengi wakiwa wanaume.
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Namna ya kukabili maumivu makali ya uti wa mgongo
Wiki iliyopita tuliona jinsi tatizo la mgongo linavyosumbua watu wengi dunia. Tuliona pia vyanzo vyake na jinsi upungufu wa viinilishe mwilini na madhara ya kazi yanavyochangia kutokea kwa tatizo hili.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E6-J*b1OZQO5WxhLc1mktmG2OhP6NEq8AExeH39YT08SVqnoyw6ld3xq-zD1dMfQLdTNJapXIKN9hx4eOhZLywr0-THMaVlh/MWIZI.jpg)
ANUSA KIFO WIZI WA BODABODA!
Dustan Shekidele, Morogoro
JAMAA aliyetajwa kwa jina moja la Aziz, amenusa kifo laivu baada ya kupokea kipigo ‘hevi’ kisha kukamatwa akituhumiwa kwa wizi wa pikipiki almaarufu bodabodaKwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, jamaa alikamatwa hivi karibuni usiku mnene akidaiwa kutaka kutekeleza uhalifu huo jirani na Kumbi za Starehe za Nyumbani Park na Samaki Sports zilizopo maeneo ya Kihonda mjini hapa. Aziz...
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Tanzania ipo kwenye mikakati kukabili wizi wa fedha kwa kutumia mitandao
Jitihada za Serikali katika kupambana na uhalifu wa mitandao imeungwa mkono kutokana na baadhi ya vyuo kuanzisha mitalaa yenye somo la ulinzi wa mitandao.
11 years ago
MichuziMTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI ,NUSURA WAENDESHA BODABODA WAMTOE ROHO
10 years ago
MichuziJAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania