Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manyoya ya twiga hutoa harufu ya kinga

KATIKA moja ya makala zilizotangulia tuliona kuwa ingawa wanaonekana wanafanana, lakini twiga wanaweza kutofautishwa na mpangilio wa urembo wa rangi zao za ngozi. Leo tuendelee kuangalia sifa za mnyama huyu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ligi ya ushirikina hutoa matokeo ya kishirikina

Kuna mambo yanashangaza sana katika soka letu. Inashangaza kwa sababu, wakati dunia ya sasa ikimulika zaidi mafanikio katika mifumo ya kisayansi, sisi tumebaki kule kule.

 

10 years ago

Mwananchi

Patrice Lumumba: ‘Mbega’ aliyeponzwa na manyoya yake

Ni miaka 53 imepita tangu kufanyika kwa mauaji ambayo unaweza kuyaita ni mabaya kwenye karne ya 20.

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima wa pamba Mara wagomea mbegu za manyoya

WAKULIMA wa pamba wa Mara wameiomba Bodi ya Pamba kuwasambazia mbegu zisizo na manyoya kwa sababu ndizo zinazoota kwa urahisi na kwa wakati muafaka katika maeneo yao.

 

9 years ago

Raia Mwema

‘Harufu’ ya urais ilianzia Kahama

HADI saa nne za asubuhi ya Oktoba 26 mwaka huu, mgombea wa ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Waandishi Wetu

 

10 years ago

BBCSwahili

Harufu ya Choo yalazimu ndege ya BA kutua

Ndege moja ya shirika la ndege la British Airways imelazimika kutua kufuatia harufu mbaya iliyokuwa ikitokea kwa choo

 

10 years ago

Vijimambo

Taasisi zenye harufu ya ufisadi zatajwa

Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Manunuzi ya Umma (PPRA), Dk. Matern Lumbanga, akizungumza na waandishi wa habari
Taasisi 13 za serikali nchini, ikiwamo Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, zimekumbwa na kashfa ya kuwa na viashiria vya rushwa, huku 19 zikiwa zimefanya malipo yenye shaka ya thamani ya Sh. bilioni 1.7 katika manunuzi ya umma kwa mwaka wa fedha 2013/2014.

Pia, kampuni 19 zimefungiwa kushiriki katika zabuni kwenye taasisi za umma nchini kutokana na madai ya kushindwa kutekeleza...

 

10 years ago

GPL

JOSLIN: SIJAWAHI KUPENDA HARUFU YA BANGI

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyetamba na ngoma ya Niite Basi, Joslin Robert Mchalla ‘Joslin’ katika pozi. MSANII wa muziki wa kizazi kipya aliyetamba na ngoma ya Niite Basi, Joslin Robert Mchalla ‘Joslin’, amefungua kinywa chake na kusema kuwa hakuwahi kuvuta bangi wala kutumia madawa ya kulevya lakini ‘anazimia’ sana bia, huku akisisitiza yeye na bia ni damudamu.… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

RT: Madudu ya Madola hayana harufu ya Katiba

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amesema kukosekana kwa katiba katika Shirikisho hilo sio sababu ya wanamichezo kufanya vibaya katika mashindano ya Kitaifa na Kimataifa. Akizungumza...

 

9 years ago

Mwananchi

Yanayosababisha mdomo kutoa harufu mbaya

Katika maisha ya kila siku inawezekana umewahi kukutana na mtu ambaye ukiwa karibu naye kimazungumzo, utagundua anatoa harufu mbaya mdomoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani