Taasisi zenye harufu ya ufisadi zatajwa
![](http://3.bp.blogspot.com/-31a2LoRaCUI/VC45e5RRGWI/AAAAAAACsAg/6fhWqPH5RBs/s72-c/DSC06909.jpg)
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Manunuzi ya Umma (PPRA), Dk. Matern Lumbanga, akizungumza na waandishi wa habari
Taasisi 13 za serikali nchini, ikiwamo Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, zimekumbwa na kashfa ya kuwa na viashiria vya rushwa, huku 19 zikiwa zimefanya malipo yenye shaka ya thamani ya Sh. bilioni 1.7 katika manunuzi ya umma kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
Pia, kampuni 19 zimefungiwa kushiriki katika zabuni kwenye taasisi za umma nchini kutokana na madai ya kushindwa kutekeleza...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo23 Jul
Harufu ya ufisadi yanukia barabara ya mita 876
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imepanga kuwatuma wataalamu wa uhandisi wa ujenzi wilayani Kilosa, mkoani Morogoro kufanya ukaguzi na tathmini ya kubaini kiwango cha ubora wa ujenzi wa barabara ya lami yenye urefu wa mita 876 iliyogharimu Sh milioni 366.2 na ikianza kuharibika ndani ya miezi sita tangu ikamilishwe mwaka huu.
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Taasisi za dini zatajwa sakata la makontena
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Zj-6Lsn99oM/Xs_HY6IT-SI/AAAAAAALr4k/TxgusB9MWJA4-JzLa3L4P8iizhCE3kXlACLcBGAsYHQ/s72-c/4937736a-0f26-4902-a223-42dfd1103e74.jpg)
TAASISI YA The Emirates Airline Foundation yaendelea kugusa jamii zenye uhitaji
![](https://1.bp.blogspot.com/-Zj-6Lsn99oM/Xs_HY6IT-SI/AAAAAAALr4k/TxgusB9MWJA4-JzLa3L4P8iizhCE3kXlACLcBGAsYHQ/s640/4937736a-0f26-4902-a223-42dfd1103e74.jpg)
SHIRIKA la ndege la Emirates kupitia miradi yao inayotekelezwa kupitia taasisi ya "The Emirates Airline Foundation" imeendelea kugusa jamii zenye uhitaji ambapo katika sekta za elimu, maji na afya huku watanzania wapatao 2912 kutoka maeneo mbalimbali nchini wakiwa wameguswa na mchango wa taasisi hiyo.
Rais wa Shirika la ndege la Emirates na mwenyekiti wa asasi ya Emirates Tim Clark kupitia taarifa iliyotolewa na Shirika hilo ameeleza kuwa Emirates inaangalia njia mbali mbali ya kuchangia...
10 years ago
MichuziWANAWAKE WATAKIWA KUJIUNGA TAASISI ZA FEDHA ZENYE MASHARTI NAFUU YA MIKOPO
Hayo ameyasema leo Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Sophia Simba wakati wa uzinduzi wa mpango Fanikisha Plus wa wajasirimali unaondeshwa na benki ya Equity iliyofanyika leo katika ukumbi JB,Belmote jijini Dar es Salaam.
Sophia amesema wanawake umefika wakati kutumia fursa ambazo taasisi za fedha zenye...
9 years ago
StarTV03 Dec
Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.
Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi kutoka nchi mbalimbali Duniani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...
10 years ago
Vijimambo22 Apr
Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Sitta-22April2015.jpg)
Aidha, imebainika pia kuwa ya...
9 years ago
Raia Mwema04 Nov
‘Harufu’ ya urais ilianzia Kahama
HADI saa nne za asubuhi ya Oktoba 26 mwaka huu, mgombea wa ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Waandishi Wetu
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Yanayosababisha mdomo kutoa harufu mbaya
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
RT: Madudu ya Madola hayana harufu ya Katiba
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amesema kukosekana kwa katiba katika Shirikisho hilo sio sababu ya wanamichezo kufanya vibaya katika mashindano ya Kitaifa na Kimataifa. Akizungumza...