Harufu ya ufisadi yanukia barabara ya mita 876
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imepanga kuwatuma wataalamu wa uhandisi wa ujenzi wilayani Kilosa, mkoani Morogoro kufanya ukaguzi na tathmini ya kubaini kiwango cha ubora wa ujenzi wa barabara ya lami yenye urefu wa mita 876 iliyogharimu Sh milioni 366.2 na ikianza kuharibika ndani ya miezi sita tangu ikamilishwe mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-31a2LoRaCUI/VC45e5RRGWI/AAAAAAACsAg/6fhWqPH5RBs/s72-c/DSC06909.jpg)
Taasisi zenye harufu ya ufisadi zatajwa
![](http://3.bp.blogspot.com/-31a2LoRaCUI/VC45e5RRGWI/AAAAAAACsAg/6fhWqPH5RBs/s640/DSC06909.jpg)
Taasisi 13 za serikali nchini, ikiwamo Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, zimekumbwa na kashfa ya kuwa na viashiria vya rushwa, huku 19 zikiwa zimefanya malipo yenye shaka ya thamani ya Sh. bilioni 1.7 katika manunuzi ya umma kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
Pia, kampuni 19 zimefungiwa kushiriki katika zabuni kwenye taasisi za umma nchini kutokana na madai ya kushindwa kutekeleza...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
DC MAKONDA kawageukia wakandarasi wa barabara..Kuna ufisadi? stori iko hapa!!
Ile kauli ya Rais kuhakikisha anapunguza matumizi yasiyo yalazima kwa Serikali imeendelea kuchukua headlines, pia tumeshuhudia baadhi ya viongozi wakisimamishwa kazi kutokana na matumizi mabaya ya fedha za umma Leo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amewageukia wakandarasi wa barabara za Manispaa yake ambao imeonekana wametumia kiasi cha fedha za umma kinyume na makubaliano. […]
The post DC MAKONDA kawageukia wakandarasi wa barabara..Kuna ufisadi? stori iko hapa!! appeared first on...
9 years ago
StarTV23 Sep
Kaya 5,876 zanufaika Tarime na TASAF
Tarime ni miongoni mwa wilaya 161 Tanzania zinazotekeleza mpango wa kunusuru kaya Maskini kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF ambapo kaya 5,876 zimenufaika na mfuko huo kwa asilimia kubwa.
Kiasi cha shilingi milioni 234.6 zimetumika kwa ajili ya malipo ya walengwa na kusaidia baadhi ya kaya hizo kufanikiwa kupeleka watoto wao shule.
Wakiongea na Mkuu wa Mkoa wa mara Kapten Mstaafu Asseri Msangi Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Gwitiryo na Mogabiri wilayani tarime ambao wamenufaika na...
9 years ago
Habarileo23 Dec
Magogo 5,876 ya mninga maji yakamatwa Mbeya
MAGOGO 5,876 ya mti aina ya mninga maji yamekamatwa katika mikoa ya Mbeya, Njombe na Rukwa kutokana na operesheni maalumu inayofanywa na Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) tangu Desemba 5, mwaka huu. Mkurugenzi wa TFS, Mohamed Kilongo alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari wakati akiwaonesha magogo yaliyokamatwa na kuhifadhiwa katika Kituo cha Polisi cha Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya.
10 years ago
Vijimambo22 Apr
Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Sitta-22April2015.jpg)
Aidha, imebainika pia kuwa ya...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8s3Z19bYb4/U-j4eOULqAI/AAAAAAAF-kE/3LRKICF4rPw/s72-c/unnamed+(41).jpg)
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8s3Z19bYb4/U-j4eOULqAI/AAAAAAAF-kE/3LRKICF4rPw/s1600/unnamed+(41).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8fuh6Rix_QE/U-j4eA1NJhI/AAAAAAAF-kA/noaS8n4dTZc/s1600/unnamed+(42).jpg)
9 years ago
Raia Mwema04 Nov
‘Harufu’ ya urais ilianzia Kahama
HADI saa nne za asubuhi ya Oktoba 26 mwaka huu, mgombea wa ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Waandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Namna ya kukabili harufu mbaya miguuni
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Harufu ya Choo yalazimu ndege ya BA kutua