Magogo 5,876 ya mninga maji yakamatwa Mbeya
MAGOGO 5,876 ya mti aina ya mninga maji yamekamatwa katika mikoa ya Mbeya, Njombe na Rukwa kutokana na operesheni maalumu inayofanywa na Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) tangu Desemba 5, mwaka huu. Mkurugenzi wa TFS, Mohamed Kilongo alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari wakati akiwaonesha magogo yaliyokamatwa na kuhifadhiwa katika Kituo cha Polisi cha Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Sk2hsjDe2jQ/Vm7cKlvUHUI/AAAAAAAIMWY/tLrx9LSPt64/s72-c/20151214070241.jpg)
Magogo ya mitiki 1418 yakamatwa jijii Mbeya leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-Sk2hsjDe2jQ/Vm7cKlvUHUI/AAAAAAAIMWY/tLrx9LSPt64/s640/20151214070241.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/--6pURmpgpAU/Vm7cKm9-2gI/AAAAAAAIMWQ/6PikRPq9V6I/s640/20151214070239.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-LkZY3-TCAkc/Vm7cKq_bo9I/AAAAAAAIMWU/XNgQx2Tro3U/s640/2015121407024%252C1.jpg)
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Makontena 31 ya magogo yakamatwa bandarini Dar
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NVZKvmtpVu8/XvXlfzaIiFI/AAAAAAALvh4/i4X_vHMdqTEsHlCo8-bO8YLjcJ36Go0_QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-26%2Bat%2B9.31.29%2BAM.jpeg)
MTI WA MNINGA, MKONGO HATARINI KUTOWEKA
IMEELEZWA kuwa ongezeko la watu nchini limeongeza utegemeze wa matumizi ya mazao ya misitu hususan mbao za miti ya mninga na mkongo na hivyo kuhatarisha uwepo wa miti hiyo katika miaka michache ijayo.
Hayo yameelezwa Juni na Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki Wizara ya Maliasili na Utalii, Deosdedit Bwoyo alipokuwa akifungua kikao cha kitaalamu cha Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania( TFS) na taasisi za Serikali na binafsi zinazoshughulika na ujenzi,...
9 years ago
StarTV23 Sep
Kaya 5,876 zanufaika Tarime na TASAF
Tarime ni miongoni mwa wilaya 161 Tanzania zinazotekeleza mpango wa kunusuru kaya Maskini kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF ambapo kaya 5,876 zimenufaika na mfuko huo kwa asilimia kubwa.
Kiasi cha shilingi milioni 234.6 zimetumika kwa ajili ya malipo ya walengwa na kusaidia baadhi ya kaya hizo kufanikiwa kupeleka watoto wao shule.
Wakiongea na Mkuu wa Mkoa wa mara Kapten Mstaafu Asseri Msangi Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Gwitiryo na Mogabiri wilayani tarime ambao wamenufaika na...
11 years ago
Habarileo23 Jul
Harufu ya ufisadi yanukia barabara ya mita 876
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imepanga kuwatuma wataalamu wa uhandisi wa ujenzi wilayani Kilosa, mkoani Morogoro kufanya ukaguzi na tathmini ya kubaini kiwango cha ubora wa ujenzi wa barabara ya lami yenye urefu wa mita 876 iliyogharimu Sh milioni 366.2 na ikianza kuharibika ndani ya miezi sita tangu ikamilishwe mwaka huu.
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)
Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]
The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Mamlaka ya maji Mbeya taabani
TAASISI za serikali mkoani Mbeya zinaongoza kwa kukwepa kulipia huduma za maji, hivyo kukwamisha tija ya uboreshaji wa usambazaji wa maji kwa wananchi mkoani hapa. Mamlaka ya Majisafi na usafi...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Mamlaka ya maji Mbeya yadhibiti kipindupindu
MAMLAKA ya Majisafi na usafi wa Mazingira jijini Mbeya (Mbeya-UWSA) imewahimiza wananchi kuendelea kulipa ankara za maji, ili kuiwezesha Mamlaka hiyo kudhibiti magonjwa ya milipuko kikiwemo kipindupindu. Kaimu Mkurugenzi wa...
10 years ago
MichuziMh. Makalla akagua miundombinu ya maji jijini Mbeya
Mh. Makalla amevutiwa sana na utendaji kazi wa Mamlaka hiyo na kuupongeza kwa kuongeza idadi kuwa wateja wa maji kutoka 9000 mwaka 2002 na kufikia 40,000 hivi sasa na pia kuwa mamlaka ya tatu kitaifa kuwa na miundombinu ya majitaka.
Mh. Makalla ameiagiza Mamlaka hiyo kuhakikisha inadhibiti upotevu wa maji kutoka...