Magogo ya mitiki 1418 yakamatwa jijii Mbeya leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-Sk2hsjDe2jQ/Vm7cKlvUHUI/AAAAAAAIMWY/tLrx9LSPt64/s72-c/20151214070241.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya, mapema mchana wa leo limekamata Magogo ya mitiki 1418 katika kijiji cha Chimbuya wilaya ya Mbozi yalikokuwa yamehifadhiwa tayari kwa kusafirisha, Pichani kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Ahmad Msangi akiangalia magogo hayo baada ya kuyakamata.
Sehemu ya Magogo ya mitiki 1418 yaliyokamatwa katika kijiji cha Chimbuya wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya leo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo23 Dec
Magogo 5,876 ya mninga maji yakamatwa Mbeya
MAGOGO 5,876 ya mti aina ya mninga maji yamekamatwa katika mikoa ya Mbeya, Njombe na Rukwa kutokana na operesheni maalumu inayofanywa na Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) tangu Desemba 5, mwaka huu. Mkurugenzi wa TFS, Mohamed Kilongo alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari wakati akiwaonesha magogo yaliyokamatwa na kuhifadhiwa katika Kituo cha Polisi cha Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya.
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Makontena 31 ya magogo yakamatwa bandarini Dar
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-lTzV_oHerZc/VZGnnfjFFOI/AAAAAAAHlwk/4dx55ce0HCY/s72-c/image061%2B%25281%2529.jpg)
WATATU WATIWA MBARONI JIJII DAR ES SALAAM KWA TUHUMA ZA MAUAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-lTzV_oHerZc/VZGnnfjFFOI/AAAAAAAHlwk/4dx55ce0HCY/s400/image061%2B%25281%2529.jpg)
Mnamo tarehe 02/02/2015 majira ya saa za mchana mtoa taarifa alifika kituo cha Polisi na kueleza kwamba marehemu ANNA D/O MIZINGI aliondoka tangu tarehe 26/12/2014 majira ya saa 1:00hrs...
10 years ago
MichuziKAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MBEYA CONSTANTINE MUSHI AFUNGUA RASMI SEMINA YA MAAFISA MAZINGIRA JIJINI MBEYA LEO
9 years ago
Habarileo17 Oct
Mbeya City, Simba leo ni leo
WATACHOMOKA? Hakika Wekundu wa Msimbazi wameweka dhamira kuwa wanataka kuvunja mwiko katika viwanja vyote vigumu ikiwemo katika mchezo wa leo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Sokoine jijini Mbeya kwa kuhakikisha wanapata pointi tatu muhimu.
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Shehena ya magogo yanaswa
11 years ago
Habarileo08 Aug
Magogo kuvunwa msitu wa Saohill
WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) imetoa vibali vya kuvuna mita za ujazo 488,100 za magogo ya miti katika msitu wake wa Taifa wa Saohill, uliopo wilayani Mufindi mkoani Iringa katika kipindi cha mwaka 2014/2015.
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Magogo ya magendo sasa kurudishwa
9 years ago
Mwananchi07 Dec
‘Kampuni ya kusafirisha magogo ilidanganya’