MAPENZI YA WOLPER KWA LOWASSA USIPIME!
![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dX7FfWdInUzEjbJeKCXXUIYiavkZoyn-xFp0V9Fon1sDxq2lLfqEnJd0Lj6U16HQ8yK-zNG-Jza5m4XyWkJgeoM/GLOBALTV23.jpg)
Mwandishi wetu MAPENZI! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’, amezidi kujipambanua mapenzi yake kwa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa kwa kusema; “nampenda Lowassa hadi naumwa.† ...Soma zaidi===>http://goo.gl/CsolWB
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Jun
Lowassa kama “Lulu” Tanga, Mtwara na Lindi nako usipime
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono mamia ya wana CCM na wananchi wa Manispaa ya Lindi, waliojitokeza kwenye ofisi za chama mkoani humo Juni 17, 2015. . Mheshimiwa Lowassa ambaye amechukua fomu kuomba chama kimteue kuwani urais wa Tanzania Oktoba 25, 2015, alijizolea wana CCM 3,279.
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa, akisalimiana Mwana CCM huyu aliyejitokeza kumdhamini kwenye ofisi za CCM wilaya ya Mtwara...
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...
10 years ago
Bongo Movies17 May
Mapenzi Au Pesa: Wolper Atoboa Anachoshobokea
Hapa na Pale: Kufuatia kuibuka kwa mabishano juu ya nini kinamata kwenye mahusiano kati ya ufundi wa mapenzi au pesa, watu mablimbali wamekuwa wakifunguka mitazamo yao juu swala hili.Staa mrembo wa Bongo Movies, Jackline Wolper naye amefunguka kuwa yeye ni team pesa.
Kupitia ukurasa wake mtandaoni Wolper aliandika kuwa japo anapenda ufundi kidogo lakini yeye anapenda pesa na kuelezakuwa yeye mwenyewe ni fundi.
“Me team chapaaaa ufundi nashobokea kwa mbaliiii siuzimii sana maana me mwenyewe...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Jacqueline Wolper aponda mapenzi ya fedha
STAA wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper, amesema hana mpango wa kuwa na mume tajiri, hivyo amewataka wasihangaike kumtafuta. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Wolper alisema hapendi wanaume wenye...
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
VIJIMAMBO: Hakuna Mapenzi ya Kweli Bila Wivu-Wolper
Mwigizaji Jackline Massawe “Wolper” akiwa amepozi namna hiyo huku akionekana yupo 4GB ametupia mtandaoni ujumbe huu.
“There is no true love without JEALOUSY…Blessed…bby upo peke yakoooooo…love”
Bila shaka huu ujumbe kamtumia mpenzi wake…Lakini hata mimi nawewe unatugusa.....yanaukweli wowote maneno haya?
9 years ago
Bongo Movies25 Sep
Wolper: Lowassa Anajua Njaa za Wasanii
Akijibu komenti ya shabiki wake mmoja aliyetaka Mh Lowassa akiingia madalakani awashugulikie baadhi ya wasanii waliokubali kununuliwa na kutumika na CCM, staa wa Bongo Movies Jacqueline Wolper alimueleza haya shabiki huyo.
Naamini hata kama UKAWA ikachukua nchi kwa navyomuona Baba Lowasa ana moyo wa imani na anaijua dini kwahiyo wewe shabiki wangu uliandika maneno haya ambayo yamenigusa nakuhakikishia kwamba Mh Lowasa ndiyo Rais nahatofanya lolote baya kwa wasanii wanaomtukana kwani pia...
9 years ago
Bongo Movies24 Aug
Kisa Lowassa, Wolper Aoga Matusi
MTOTO mzuri Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amejikuta akiambulia matusi mazito kutoka kwa staa mwenzake Isabela Mpanda kisa kikiwa ni kuonesha mapenzi yake kwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa.
Isabela aliamua kumtusi staa huyo akidai anamshanga kujinadi kila siku katika mtandao wa Instagram kuwa ni mfuasi wa Lowassa wakati amelelewa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Kupitia mtandao huo wa Istagram, Isabela aliamua kumtolea uvivu Wolper hadharani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0KyT*Of17-PEvJOmZa1s*ggRjAGs6MvT5QGoa641Ra1Iy7Q1AdlNR2KEKNs*KjkcLYZUWEoc7PM6Q5BSet-kKn5/ergtertertetetetertet.jpg)
JACQUELINE WOLPER AMFUATA EDWARD LOWASSA UKAWA!
9 years ago
Bongo Movies16 Sep
Wolper Awatoa Hofu Mashabiki, Asisitiza Kubaki Kuwa Jacqueline Lowassa
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper ambaye amejipambanua siasa kuwa anaunga mkono madadiliko kupitia UKAWA na kushiriki katika harakati za kumpigia kampeni Mh Edward Lowassa ambaye ni mgombea urasi kupitia UKAWA kwa tiketi ya CHADEMA, amewatoa hofu mashabiki wao kuwa hakuna bifu miongoni mwao kwani siasa zikiisha wataendelea na maisha yao kama kawaida tofauti na baadhi ya mashabiki wanavyodhani hasa baada ya wasanii hao wa bongo movies walivyotafautiana kimitazamo ya kisiasa kwakipindi...