Mapigano yaendelea Mashariki mwa Ukraine
Mapigano makali yameendelea mashariki mwa Ukraine kufuatia majeshi ya serikali kukabiliana na kundi la Waasi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Mapigano yatakoma Mashariki mwa Ukraine?
Ujerumani,Urusi na Ukraine zimejadili kwa simu zikiwa ni jitihada za kuhakikisha makubaliano ya kukomesha mapigano yanafanikiwa
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
Hali ya Mashariki mwa Ukraine ni tete
Hali ya Mashariki mwa Ukraine yaelezwa kuwa mbaya,Raia waathirika
10 years ago
BBCSwahili15 Feb
Amani yadumishwa mashariki mwa Ukraine
Usitishwaji mapigano unaonekana kudumishwa kati ya wanajeshi wa serikali na waasi wanaongwa mkono na Urusi mashariki mwa Ukrain.
10 years ago
Michuzi23 Aug
MKUTANO KATI YA WIZARA NA WANAFUNZI WANAOSOMA MASHARIKI MWA UKRAINE HUSUSANI ENEO LA LUGANSK
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inawatangazia wanafunzi wote wa Tanzania wanaosoma katika vyuo vya Lugansk, Ukraine na maeneo mengine Chini ya Ufadhili wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambao hivi sasa wako likizo hapa nchini kuwa kutakuwepo na mkutano kujadili, pamoja na mambo mengine, hali ya usalama na hatua za kuchukua kabla ya kurudi Lugansk kuendelea na masomo, mwezi Septembea, 2014.
Mkutano huo utafanyika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, siku ya Jumatano, tarehe 3...
Mkutano huo utafanyika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, siku ya Jumatano, tarehe 3...
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mapigano kusitishwa Jumamosi Ukraine?
Viongozi wa mataifa ya Ulaya wamekubaliana kuiwekea vikwazo zaidi Urusi iwapo itashindwa kusimamia makubaliano mapya.
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Kwa nini mapigano hayakomi Ukraine?
Ufaransa,Ujerumani,Urusi na Ukraine wakemea kutotekeleza makubaliano ya kusitisha mapigano
10 years ago
BBCSwahili15 Feb
Mapigano yasita kwa jumla Ukraine
Nchi za Ulaya zasema hali ilivyo sasa katika mzozo wa mashariki mwa Ukraine yaridhisha
10 years ago
BBCSwahili03 Mar
kukoma kwa mapigano Ukraine bado Ndoto
Viongozi wa Ujerumani, Ukraine na Ufaransa wamefanya mazungumzo na kuweka mikakati ya kumaliza mapigano Mashariki mwa Ukraine
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Mapigano makali yaendelea Mogadishu
Mapigano makali yameripotiwa kwenye mji kuu wa Somalia Mogadishu baada ya shambulizi la gari la kujitoa mhanga
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania