Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO KATI YA WIZARA NA WANAFUNZI WANAOSOMA MASHARIKI MWA UKRAINE HUSUSANI ENEO LA LUGANSK

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inawatangazia wanafunzi wote wa Tanzania wanaosoma katika vyuo vya Lugansk, Ukraine na maeneo mengine Chini ya Ufadhili wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambao hivi sasa wako likizo hapa nchini kuwa kutakuwepo na mkutano kujadili, pamoja na mambo mengine, hali ya usalama na hatua za kuchukua kabla ya kurudi Lugansk kuendelea na masomo, mwezi Septembea, 2014. 

Mkutano huo utafanyika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, siku ya Jumatano, tarehe 3...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Amani yadumishwa mashariki mwa Ukraine

Usitishwaji mapigano unaonekana kudumishwa kati ya wanajeshi wa serikali na waasi wanaongwa mkono na Urusi mashariki mwa Ukrain.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali ya Mashariki mwa Ukraine ni tete

Hali ya Mashariki mwa Ukraine yaelezwa kuwa mbaya,Raia waathirika

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapigano yaendelea Mashariki mwa Ukraine

Mapigano makali yameendelea mashariki mwa Ukraine kufuatia majeshi ya serikali kukabiliana na kundi la Waasi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapigano yatakoma Mashariki mwa Ukraine?

Ujerumani,Urusi na Ukraine zimejadili kwa simu zikiwa ni jitihada za kuhakikisha makubaliano ya kukomesha mapigano yanafanikiwa

 

11 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI

Mlezi wa chama  cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve  akitambulisha  wageni Mmoja kati ya  viongozi akieleza malengo ya Chawakama Mwalimu Chalamila akieleza  maana ya lugha ya kiswahili Mwalimu wa kiswahili  chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu  akiburudisha Wanachama  wakicheza  na msanii  huyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFUNGUA MKUTANO WA NCHI 14 ZA SHIRIKISHO LA WAKUU WA POLISI MASHARIKI MWA AFRIKA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Uganda, John Ndungutse katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Saalaam baada ya kufungua mkutano wa Kamati Tendaji za Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO). Mkutano huo umeshirikisha nchi 14 kutoka kwenye shirikisho hilo ambapo wamekutana kujadili na kupanga  mikakati ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka. Picha na jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Wahasibu Wakuu nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika(ESSAG) uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre JNICC jijini Dar es Salaam leo. Walioketi meza kuu kutoka kulia ni Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya Fedha Servacius Likwelile, manaibu katibu wakuu hazina Dkt.Hamisi Mwinyimvua na Bi.Dorothy Mwanyika.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Jakaya Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Wahasibu Wakuu nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika(ESSAG) uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre JNICC jijini Dar es Salaam siku ya Jumatatu March 9, 2015, Walioketi meza kuu kutoka kulia ni Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya Fedha Servacius Likwelile, manaibu katibu wakuu hazina Dkt.Hamisi Mwinyimvua na Bi.Dorothy Mwanyika.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA APOKEA UJUMBE KUTOKA SEKRETARIETI YA SOKO LA PAMOJA LA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA COMESA


Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Ludovick Nduhiye wakiwa katiza picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Sekretarieti ya COMESA ulioongozwa na Balozi Dr. Kipyego Cheluget.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Katibu mkuu anayeshughulikia miradi kutoka sekretarieti ya (COMESA) Balozi Dr. Kipyego Cheluget.



Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akiongoza kikao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani