Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapya ya Gwajima yazidi kuibuka Dar

Joseph GwajimaMAPYA yamezidi kuibuka katika sakata la Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Joseph Gwajima, baada ya kuthibitika kwamba bastola iliyokamatwa katika harakati za kile kinachotajwa kutaka kumtorosha kutoka katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam, ni mali yake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mafungu ya Ukimwi yazidi kushuka, maambukizi mapya yashika kasi

Wakati watu watatu walipothibitika kuwa na maambukizi ya Ukimwi mwaka 1983, hakuna ambaye angeweza kutabiri kile ambacho kingeweza kutokea miaka michache baadaye.

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Kone asema maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI mkoani Singida yazidi kuongezeka

DSC02565

Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida na mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI yaliyofanyika katika kijiji cha Sepuka wilaya ya Ikungi.Kaimu mkuu huyo wa mkoa, amesema kuwa jumla ya waathirika wa VVU 17,720 mkoani hapa, 12,286 wameandikishwa kwa ajili ya kupatiwa dawa za kufumbaza virusi vinavyosababisha ugonjwa hatari wa UKIMWI.

Na Nathaniel Limu.

Jumla ya watu 17,720 mkoani Singida wanaoishi na Virusi vya Ukimwi walioandikishwa hadi...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja watatu Dar wakabidhiwa magari na Airtel baada ya kuibuka

  Mfanyabiashara  wa Soko la Jipya  la Kawe,  Grace Pascal Kalengela (wa pili kulia), ambaye aliibuka mshindi wa Droo ya tatu ya promosheni  ya Airtel Yatosha Zaidi akishangiliwa na wafanyabiashara wenzake sokoni hapo, kabla ya kukabidhiwa zawadi ya gari jipya aina ya Toyota
IST lililosajiliwa kwa namba T 783 DCZ katika hafla iliyofanyika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam jana. Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange (kushoto), akikabidhi mfano wa ufunguo...

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA ASHITAKIWA MAHAKAMA YA KISUTU DAR

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. HATIMAYE Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameshitakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa makosa mawili ya kutoa lugha ya matusi na uzembe wa kuhifadhi silaha yake.
Askofu Gwajima ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, waliotajwa mahakamani hapo kuwa ni Yekonia Behanaze, Jofrey Andrew na...

 

10 years ago

Vijimambo

Mawakili wa Gwajima Wajibu Mapigo Waiandikia Barua Polisi Kuhusu Uhalali wa Kumtaka Gwajima Awasilishe Nyaraka 10 za Mali Zake


Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka 10, Aprili 16 mwaka huu watakapoendelea na mahojiano.
Gwajima...

 

11 years ago

GPL

MADARAJA MAPYA JIJINI DAR

   Daraja la Morocco jijini Dar.
    Muonekano wa Daraja la Morocco –Dar.
    Daraja la Ubungo.…

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA MBARONI, APELEKWA MAHAKAMA YA KISUTU DAR

Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima amekamatwa na Jeshi la Polisi na kwa sasa yupo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Habari zaidi pamoja na picha kuhusu taarifa hizi zitawajia hivi…

 

9 years ago

Mwananchi

Gwajima kujibu mapigo ya Dk Slaa kesho Dar

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kesho anatarajia kujibu mapigo kuhusu tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ambaye hivi karibuni alimweleza kuwa ni mshenga wa Edward Lowassa kwa viongozi wa Chadema.

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA APATA DHAMANA MAHAKAMA YA KISUTU, DAR

Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo amepata dhamana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar atarudi mahakamani hapo Mei 4, 2015. Josephat Gwajima ameshitakiwa kwa makosa mawili kutoa lugha ya matusi na kushindwa kutunza slaha. (Habari: Deogratius Mongela/GPL)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani