GWAJIMA APATA DHAMANA MAHAKAMA YA KISUTU, DAR
![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aQUTsfI6ZENSWyuohLTfSr5vmubC-M*KghSMIvsSi0GzcnFG07xTekGv4CJ31PiFoO1cU7ygHSgM8kmj-GsjdID/gwajima.jpg?width=650)
Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo amepata dhamana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar atarudi mahakamani hapo Mei 4, 2015. Josephat Gwajima ameshitakiwa kwa makosa mawili kutoa lugha ya matusi na kushindwa kutunza slaha. (Habari: Deogratius Mongela/GPL)
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLGWAJIMA ASHITAKIWA MAHAKAMA YA KISUTU DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aSLvHd*D*Q6WpBSd-rF7FnmiyldKT3LEsMaUWuya-VzYgQ9AgdaHnaAQFi6cjsXKZQbCeUTSzYoRmLMWyWA03JX/breakingnews.gif)
GWAJIMA MBARONI, APELEKWA MAHAKAMA YA KISUTU DAR
10 years ago
VijimamboASKOFU GWAJIMA AFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-puGFmGKl0rU/VTE1aFCIl_I/AAAAAAABXSQ/PmMycj947Nw/s1600/Gwajima%2Bna%2BBehagaza.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Exclusive: Mahakama ya Kisutu yamwachia huru Askofu Gwajima na wachungaji wake watatu leo
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari cha modewjiblog zimeeleza kuwa Askofu Josephat Gwajima aliyejisalimisha Polisi Central na hatimaye kupelekwa Mahakama ya Kisutu wameachiwa huru kwa dhamana yeye pamoja na wachungaji wake watatu, jijini Dar es Salaam jioni ya leo.
Askofu Gwajima aliwataja Maaskofu hao kuwa ni Askofu Geofrey Andrew, Mchungaji George Mzava na Askofu Yeconia Bihagaze.
Hiyo ni kufuatia kushitakiwa kwa mashitaka mawili yanayowakabili likiwemo kumkashifu Askofu Pengo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FPx4KkWZm7E/XphHaSF-7GI/AAAAAAALnK0/_BeSHkqlvRkAZPNMIm-7htG81m6yXuL5gCLcBGAsYHQ/s72-c/66cdf9a8-ceca-4c57-b1a0-0dc65a88f770.jpg)
WALIOMSHAMBULIA BINTI MWENYE UMRI WA MIAKA 12 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR
WANAWAKE watatu akiwemo mama mlezi wa binti mwenye umri wa miaka 12, Scholastica Charles (34) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kumfanyia ukatili binti yake (jina limehifadhiwa) na kumsababishia maumivu makali.
Mbali na Scholastica, washtakiwa wengine ni Salma Hamisi (25) na Happy Joshua (44), ambapo wote ni wafanyabiashara wanaoishi Kitunda jijini Dar es Salaam.
Akisoma hati ya mashtaka leo, Wakili wa Serikali...
9 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO, SAID KUBENEA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO.
10 years ago
Michuzimtuhumiwa wa mauaji nchini uingereza apandishwa kizimbani mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam leo
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Waliosambaza matokeo ya Urais kinyume cha sheria wapandishwa kizimbani Mahakama ya Kisutu jijini Dar
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe...
9 years ago
MichuziWALIOSAMBAZA MATOKEO YA URAIS KINYUME CHA SHERIA WAPANDISHWA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM