MAPYA YAIBUKA VURUGU ZA PANYA ROAD
Hizi ndiyo sura za panya road ukikutana nao chini utakaa na gari utaacha
Ayubu Mohamed maarufu Diamond enzi za uhai wake. Na Ibrahim Yamola na Kalunde Jamal, MwananchiHali hiyo iliwafanya wakazi wa jiji hilo kusitisha shughuli mbalimbali kutokana na kuhofia usalama wao, huku usafiri ukiadimika.Dar es Salaam. Baada ya saa 24 kupita tangu kundi maarufu la waporaji la Panya Road, kuvamia na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, chanzo cha uhalifu huo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
BREAKING NEWWZZZZ: VIJANA WANAODAIWA KUWA NI PANYA ROAD WAFUNGA MITAA JIJINI DAR NA KUFANYA VURUGU KUBWA.


Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa...
11 years ago
GPL
MAPYA YAIBUKA!
10 years ago
GPL
MAPYA YAIBUKA MASHAMBULIZI
11 years ago
Habarileo13 Mar
Mapya yaibuka ajali ya ndege
TAKRIBANI mashuhuda wanane wameiambia Serikali ya Malasyia kuwa waliiona ndege ya Malaysia, MH 370, saa moja kabla haijapotea angani kupitia rada ya uraiani. Maelezo hayo yanaashiria kuwa ndege hiyo iligeuka kabla ya kupotea angani.
10 years ago
Uhuru Newspaper
Mapya yaibuka ajali ya Majinjah
Idadi ya waliokufa yaongezekaMbatia ajipanga kuchukua hatua
NA WAANDISHI WETU
IDADI ya watu waliokufa katika ajali iliyohusisha basi la Majinjah Express, kugongana uso kwa uso na lori, imeongezeka na kufikia 50.
Ajali hiyo iliyotokea juzi, Mufindi mkoani Iringa, ilisababisha kontena lililobebwa na lori hilo, kuangukia basi na kisha kuwabana abiria waliokuwemo na kusababisha vifo vya watu 42 papo hapo.
Hata hivyo, kumeibuka sintofahamu kuhusiana na idadi kamili ya watu waliokuwemo kwenye magari...
10 years ago
GPL
Rufaa ya Cheka, mapya yaibuka
11 years ago
Habarileo26 May
Mapya yaibuka mtoto wa boksi
UTATA umeendelea kugubika tukio la mtoto kukutwa kwenye boksi katika mtaa wa Azimio mjini Morogoro akiwa ameishi humo kwa miaka mitatu, ambapo sasa imebainika kuwepo kwa shimo lililojaa maji jirani na alipokuwa amefungiwa mtoto huyo.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Mapya yaibuka uchaguzi Simba
WAKATI uchaguzi mkuu wa Simba ukiwa bado gizani, mengine yamezidi kuibuka baada ya kudaiwa Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo chini ya Mwenyekiti wake Dk. Damas Ndumbaro ni batili kwa...
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Mapya yaibuka mkoani Tanga
Na Amina Omari, TANGA
JESHI la Polisi nchini limesema katika msako unaoendelea katika mapango ya Mleni mkoani hapa, ambayo watu wanaodaiwa kuhusika katika matukio ya uporaji silaha walikuwa wamejificha, wamefanikiwa kukuta ngedere watatu wakiwa wamekufa huku wakiwa na majeraha.
Pamoja na hilo pia jeshi hilo limefanikiwa kumtia mbaroni mtuhumiwa mmoja ambaye wamemkuta na bunduki aina ya SMG ambayo ni mali ya jeshi hilo pamoja na risasi 20.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa...