Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MARAFIKI WA WAFANYE WATABASAMU WATOA MSAADA KWA WATOTO WA AMANI ORPHANAGE CENTRE, BAGAMOYO

Marafiki wa Wafanye Watabasamu, hivi karibuni, walitembelea kituo cha watoto yatima (Amani Orphanage Centre) kilicho katika Kijiji cha Zinga, Bagamoyo kwa ajili ya kutoa misaada mbali mbali kisha kuchora nao. Mbali na marafiki waishio nchini, pia kulikuwa na walimu sita toka Shule ya Msingi ya Catton Grove ya Uingereza na wawakilishi wa taasisi ya The Tanzania Norwich Association pia ya Uingereza. (Picha: Nicolas Calvin).Msafara wa Wafanye Watabasamu ukiwasili kituoni hapo. Zaidi kuhusu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SHULE YA CATTON GROVE YA UINGEREZA YATOA MSAADA AMANI ORPHANAGE CENTRE, BAGAMOYO

  Mratibu wa Wafanye Watabasamu ambaye pia ni mchora vibonzo nchini, Nathan Mpangala akimkabidhi sare za shule mmoja wa malaika kituoni hapo. Aliyetupia koti ni Mwakilishi wa TNTA nchini, Bw. Mussa Mussa Zaidi kuhusu Wafanye Watabasamu tembelea: https://www.facebook.com/wafanyewatabasamu Watoto wakizitathmini zawadi zao. Mkurugenzi wa kituo cha Amani Orphanage Centre, Bi. Margareth Mwegalawa akiwa amempakata mtoto yatima anayelelewa kituoni hapo. Mtoto huyo alitupwa Chalinze miezi ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYE WATABASAMU WATABASAMU NA WATOTO MUHIMBILI

Marafiki wa Wafanye Watabasamu Jumamosi iliyopita waliwatembelea tena watoto wanaoendelea na matibabu ya saratani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, ambapo waliwapa zawadi mbali mbali kisha kuchora nao ikiwa ni sehemu ya sanaa tiba (art therapy).  Akizungumza na blogu hii, mratibu wa programu hiyo ambaye pia ni mchora vibonzo maarufu nchini, Nathan Mpangala, alisema, ziara hiyo iliyokuwa na lengo la kutumia sanaa tiba kukabiliana na msongo wa mawazo, kusahaulisha maumivu na...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYE WATABASAMU WATEMBELEA WATOTO WA SOS CHILDREN'S VILLAGES

Mchora vibonzo na Mratibu wa Wafanye Watabasamu, Nathan Mpangala, akiongea na baadhi ya watoto wa Kituo cha SOS Children’s Villages cha Dar es Salaam wakati wa ziara ya mafunzo ya uchoraji katika kituo hiko, Juzi. Ziara hiyo iliyohusisha wachoraji na marafiki kadhaa ililenga kuibua vipaji na kuwatabasamisha watoto. Mchora vibonzo Abdul King O ‘Kaboka Mchizi’, akitoa maelekezo ya jinsi ya ‘kutupia’ rangi kwa watoto wa SOS Children’s Villages, juzi. Hili ndilo haswaaa lengo la Wafanye...

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA AMANI ORPHANAGE CENTER CHA POKEA ZAWADI NA MSAADA WA MAANDALIZI YA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF.

Kushoto ni Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka  akiwa na Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani wakiwakabidhi zawadi ya Mbuzi  kwa ajilli ya Krismasi watoto wa kituo cha kulelea yatima cha Amani Orphanage Centre tarehe 5.12.2014 Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani akimkabidhi zawadi ya vinywaji mmoja wa watoto katika kituo hicho Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka akimkabidhi mmoja wa watoto msaada wa mafuta ya kupikia kwa niaba ya watoto wenzake walipo watembelea katika...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani