SALAMU ZA SHUKRANI TOKA WAFANYE WATABASAMU
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAFANYE WATABASAMU WATABASAMU NA WATOTO MUHIMBILI
Marafiki wa Wafanye Watabasamu Jumamosi iliyopita waliwatembelea tena watoto wanaoendelea na matibabu ya saratani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, ambapo waliwapa zawadi mbali mbali kisha kuchora nao ikiwa ni sehemu ya sanaa tiba (art therapy). Akizungumza na blogu hii, mratibu wa programu hiyo ambaye pia ni mchora vibonzo maarufu nchini, Nathan Mpangala, alisema, ziara hiyo iliyokuwa na lengo la kutumia sanaa tiba kukabiliana na msongo wa mawazo, kusahaulisha maumivu na...
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi30 Aug
10 years ago
Michuzi11 years ago
MichuziWAFANYE WATABASAMU WATEMBELEA WATOTO WA SOS CHILDREN'S VILLAGES
Mchora vibonzo na Mratibu wa Wafanye Watabasamu, Nathan Mpangala, akiongea na baadhi ya watoto wa Kituo cha SOS Children’s Villages cha Dar es Salaam wakati wa ziara ya mafunzo ya uchoraji katika kituo hiko, Juzi. Ziara hiyo iliyohusisha wachoraji na marafiki kadhaa ililenga kuibua vipaji na kuwatabasamisha watoto.
Mchora vibonzo Abdul King O ‘Kaboka Mchizi’, akitoa maelekezo ya jinsi ya ‘kutupia’ rangi kwa watoto wa SOS Children’s Villages, juzi.
Hili ndilo haswaaa lengo la Wafanye...
9 years ago
MichuziMARAFIKI WA WAFANYE WATABASAMU WATOA MSAADA KWA WATOTO WA AMANI ORPHANAGE CENTRE, BAGAMOYO
Marafiki wa Wafanye Watabasamu, hivi karibuni, walitembelea kituo cha watoto yatima (Amani Orphanage Centre) kilicho katika Kijiji cha Zinga, Bagamoyo kwa ajili ya kutoa misaada mbali mbali kisha kuchora nao. Mbali na marafiki waishio nchini, pia kulikuwa na walimu sita toka Shule ya Msingi ya Catton Grove ya Uingereza na wawakilishi wa taasisi ya The Tanzania Norwich Association pia ya Uingereza. (Picha: Nicolas Calvin).Msafara wa Wafanye Watabasamu ukiwasili kituoni hapo. Zaidi kuhusu...
10 years ago
Vijimambo03 Aug
Shukrani toka kwa familia ya Francisca Mwaluli
Kwa niaba ya Francisca Mwaluli na Kwa niaba ya Famila ya Mzee
Benedict Mwaluli wanapenda kutoa shukrani zao za pekee kwenu ndugu na jamaa wote wa New England kwa kuwa pamoja nae kwa hali
na mali katika maombolezo ya msiba wa mpendwa mwanawe
Kevin Linus Kaenga, kwani ni kipindi kigumu kinachowakabili.
Hana cha kuwalipa zaidi ya kuomba Mwenyezi Mungu azidishe baraka zake kwenu kwa yote mnayotamani. anawashukuruni sana na muzidi kuwa na ushirikiano katika kila jambo.Ahsanteni...
Benedict Mwaluli wanapenda kutoa shukrani zao za pekee kwenu ndugu na jamaa wote wa New England kwa kuwa pamoja nae kwa hali
na mali katika maombolezo ya msiba wa mpendwa mwanawe
Kevin Linus Kaenga, kwani ni kipindi kigumu kinachowakabili.
Hana cha kuwalipa zaidi ya kuomba Mwenyezi Mungu azidishe baraka zake kwenu kwa yote mnayotamani. anawashukuruni sana na muzidi kuwa na ushirikiano katika kila jambo.Ahsanteni...
9 years ago
Michuzi09 Sep
SHUKRANI TOKA KWA MR. & MRS. NEHEMIAH MCHECHU
Familia ya marehemu Dr. John Edward Mchechu wa Ukonga Dar es salaam wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki walioshirikiana nao na kuwafariji kwa hali na mali katika kumuuguza na mpaka kumlaza katika nyumba ya milele mpendwa baba yao Dr. John Edward Mchechu aliyefariki tarehe 21/07/2015 nyumbani kwake Ukonga na kuzikwa tarehe 26/07/2015 Muheza, Tanga.Shukrani za pekee zimfikie Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. JakayaMrishoKikwete,MakamuwaRais,Dk. Mohamed...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania