Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marais China ,Taiwan hawajawahi kukutana

Maofisa nchini Taiwan wanasema kwamba rais wa nchi yao anatarajia kukutana na rais wa China Xi Jin-ping ,Singapore siku ya jumamosi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Diamond,Wema hawajawahi kukutana tangu kuachana

Mastaa wa Bongo ambao waliwahi kuwa wapenzi,Diamond na Wema Sepetu hawajawahi kukutana tangu walipoachana mwaka jana.

Staa wa Bongo Fleva,Diamond amefunguka hayo wakati akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm,alipoulizwa kuwa kama wana mahusiano mazuri na Wema Sepetu. ‘’Sina Ugomvi na Wema na sijaonana naye tangu tulipoachana,’’alisema Diamond.
Diamond ametambulisha leo wimbo wake mpya mwenye asili ya mduara uutwao ‘’Nasema Nawe’’aliyomshirikisha Khadija...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marais wa EAC kukutana Nairobi, Kenya

Marais wa nchi tano zaJumuia ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana Nairobi Kenya katika kikao cha kawaida

 

10 years ago

GPL

MARAIS WA NCHI 6 ZA AFRIKA KUKUTANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Marais wa nchi sita za Afrika watakuwa na mkutano mkubwa leo Jijini Dar es Salaam ncini Tanzania ambapo watajadili kwa kina juu ya kuboresha uwekezaji katika kanda ya Maziwa Makuu. Marais hao ni Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Pierre Nkurunziza wa Burundi, Paul Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenyeji wao wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete. Mkutano huo wa siku mbili...

 

10 years ago

Habarileo

JK afanya mageuzi ya mapokezi ya marais China

RAIS Jakaya Kikwete amesababisha mageuzi makubwa kwa namna Jamhuri ya Watu wa China inavyowapokea viongozi wageni kutoka nje ya nchi hiyo kwa kuwa kiongozi wa kwanza duniani kupokewa rasmi na pikipiki za polisi na kuongozwa na pikipiki hizo kwa muda wote wa ziara katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Usalama:Japan na China kukutana

China na Japan wanafanya mkutano wa kwanza wa kiwango cha juu wa usalama katika muda wa miaka minne.

 

10 years ago

BBCSwahili

China, Japan na Korea kusini kukutana

Mawaziri wa mashauri ya kigeni wa China,Japan na Korea kusini wanakutana mjini Seoul leo jumamosi katika mkutano wa kiusalama

 

9 years ago

Bongo5

Hizi ni nchi 6 Afrika ambazo marais wake wa sasa ni watoto wa marais waliopita

nyerere_karume_and_moyo

Suala la mtoto wa rais kuja kugombea urais lilionekena kama tatizo na linaendelea kuonekana kama tatizo barani Afrika lakini mambo si kama hivyo wanavyodhani waafrika wengi.

nyerere_karume_and_moyo

Mwezi uliopita, waziri mkuu wa Canada ambaye ni mtoto wa Justin Trudeau aliyekuwa waziri mkuu wa 15, alichaguliwa kuongoza serikali ya nchi hiyo.

Ingawa hali hiyo si ya kawaida kwenye nchi nyingi duniani, hali hiyo hiyo iliweza kushuhudiwa nchini Marekani pale ambapo Rais wa awamu ya sita John Quincy Adams alichaguliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kigulu Makete hawajawahi kuona gari tangu uhuru

>Haitashangaza kusikia wakazi wa kata fulani hawajawahi kuona lami tangu Tanzania  ipate uhuru mwaka 1961 kwani katika hali ya kawaida kunakuwapo miundombinu ya barabara ambayo  hata kama si kwa kiwango cha kuridhisha, magari  yanafika kila kukicha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani