Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani ilikosea kuwaachilia Taliban 5

Afghanistan imeghadhabishwa na makubaliano ya Marekani kuwaachia huru wanamgambo 5 wa Taliban, ili kumkomboa mwanajeshi wao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Taliban wajigamba na Mbwa wa Marekani

Kiongozi wa Taliban, Afghanistan,ameonekana akiwa na Mbwa wa jeshi la Marekani waliomkamata mwezi Disemba na kumuweka kama mfungwa wa kivita

 

5 years ago

BBCSwahili

Marekani yashambulia Taliban kwa makombora saa kadhaa baada ya mkataba

Hii inakuja siku moja baada ya rais Trump kuzungumza na kundi hilo kuhusu juhudi za kuimarisha mchakato wa amani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Afghanistan: Je Taliban watafanya nini baada ya kutia saini makubaliano na Marekani?

Matumaini yenye tahadhari yamekuwa yakiongezeka lakini hatma ya kisiasa ya Afghanistan bado haijulikani

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Afghan: Marekani na Taliban watia saini kumaliza vita vya miezi 18

Marekani na washirika wake wa Nato wamekubaiana kuondoa vikosu vyote ikiwa Talibanitatimiza ahadi yake

 

11 years ago

BBCSwahili

UN yamuasa Kiir kuwaachilia wafungwa

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limemsihi Rais wa S. Kusini Salva Kiir awaachilie huru wafungwa wa kisiasa ili aweze kumaliza mgogoro wa kisiiasa unaotoka nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram kuwaachilia wanafunzi

Serikali ya Nigeria inasema kuwa imefikia makubaliano na kundi la wapiganaji wa Boko Haram kuwaachilia wasichana walitekwa nyara

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Serikali ilikosea kuua vyuo vya kati

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Serikali ilifanya kosa kuvibadili vyuo vya kati kuwa vyuo vikuu, kutokana na kupunguza idadi ya watumishi wa daraja la kati ambao ndiyo watendaji.

 

11 years ago

Michuzi

Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors - Charles Ekerege

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii

MKURUGENZI wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekerege, amekiri mahakamani kwamba Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors na hivyo, na kwamba Bodi ya Wakurugenzi ilitoa onyo kali na kuitaka isirudie kosa hilo.
Aidha, ameeleza kuwa hakutoa msamaha huo yeye binafsi bali menejimenti iliyoketi chini ya wakuu wa idara sita za shirika hilo ilipitisha na kwamba kutokana na kampuni hizo mbili...

 

11 years ago

BBCSwahili

Taliban yashambulia Kabul

Wapiganaji wa kundi la Taliban wametekeleza mashambulizi katika jumba la kukodisha ambalo hutumiwa sana na wageni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani