Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani kufanya uchunguzi wa kimeta

Idara ya ulinzi nchini Marekani imeamrisha kufanyika uchunguzi mkubwa kuhusu jinsi mahabara zake zinashughulikia kimeta.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani:Jeshi latuma Kimeta kimakosa

Maabara moja ya kijeshi huko Utah imetuma zana hatari za kibayolojia za kimeta kwa kambi 9 za kijeshi na Korea Kusini

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yakiri kutuma kimeta zaidi

Maofisa wa ulinzi nchini marekani wamekiri kuwa maabara kadhaa zilizopokea kimakosa sampuli hai za vidudu hatari vya kimeta ni zaidi ya mara mbili ya matarajio ya awali.

 

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA Z-NCDA KUFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA KIZAZI ZANZIBAR

Na Faki Mjaka - Maelezo Zanzibar
Jumuiya ya Maradhi yasiyo Ambukiza Zanzibar (Z-NCDA) inatarajia kuzindua Kampeni ya Uchunguzi wa Maradhi ya Kansa ya Shingo ya Kizazi Agosti 30-31 mwaka huu.
Uzinduzi huo utafanyika katika Kituo cha Afya Mpendae mjini Zanzibar ambapo Wanawake wenye dalili za Maradhi hayo watafanyiwa uchunguzi bure kituoni hapo.
Akizungumza na Waandishi wa habari Ofisini kwao Mpendae, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ali Mansour Vuai amesema lengo la uchunguzi huo ni kuisaidia Serikali...

 

9 years ago

Michuzi

WITO WATOLEWA NA MISS TANZANIA 2013/2014 KWA WAKINA MAMA KUJITOKEZA KUFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA KIZAZI

 Miss Tanzania 2013/2014 ,Happiness Watimanywa ambaye ni Balozi wa Saratani ya mlango wa kizazi kupia hospitali ya Marie Stopes( kushoto) na  Meneja wa Masoko wa hospitali hiyo Lilian Charles wakiingia kwenye uwanja wa taifa kutoa elimu kuhusiana na ugonjwa wa kansa ya kizazi wakati wa mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Yanga na Azam, ikiwa nisehemu ya kampeni ya kuhamasisha akinamama kwenda kufanya uchunguzi wa saratani ya Kizazi kwanye vituo mbalimbali vya afya ikiwemo...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif alitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kujua waliochoma moto ofisi ya CUF jimbo la Dimani

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amelitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kuwajua watu waliohusika kuchoma moto ofisi za chama hicho jimbo la Dimani na baadaye wafikishwe mbele ya mkono wa sheria.
Maalim Seif amesema hayo wakati alipotembelea ofisi hizo zilizoteketezwa kabisa kwa moto, tukio lililofanywa na watu wasiojuilikana juzi usiku, huko katika eneo la Kisauni Wilaya ya Magharibi Unguja.
Katibu Mkuu wa CUF amesema tukio hilo ni la kusikitisha...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAENDELEA KUFANYA UCHUNGUZI KWA WATU WANAOHUSIKA NA KUENDESHA VITUO VYA KULELEA WATOTO AMBAVYO HAVIJASAJILIWA KISHERIA.

NaSylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linaendelea kufanya uchunguzi wa watu wanaohusika na kuendesha vituo vya kulelea watoto ambavyo havijasajiliwa na vinaendeshwa katika maeneo ambayo ni hatarishi kwa watoto. Kamanda MISIIME amesema Polisi iligundua vituo vitatu katika eneo la Nkuhungu Dodoma Mjini baada ya kupokea taarifa kwamba kuna nyumba ambazo...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AMEMUAGIZA MKURUGENZI WA ‘ZAWA’ KUFANYA UCHUNGUZI WA KINA NA KUWACHUKULIA HATUA ZA NIDHAMU KWA MUJIBU WA SHERIA WATENDAJI WA MAMLAKA HIYO.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja cha nyumba ya Ghorofa kinacholalamikiwa na Wakaazi wa Mtaa huo kwamba kimevamia pia eneo la wazi linalotumika kwa shughuli za Kijamii.Mmiliki wa Kiwanja cha nyumba ya Ghorofa Mlandege Bwana Anuari Abdullah akijitetea kupata kibali kinachomruhusu kuendeleza ujenzi wa nyumba yake.
 Baadhi ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakitafakari na kufurahia maamuzi yaliyochukuliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani kufanya mazungumzo na Iran

Marekani inapanga kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran kuhusu mbinu za kukabiliana na tishop la wapiganaji Iraq

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani