Marekani yakiri kutuma kimeta zaidi
Maofisa wa ulinzi nchini marekani wamekiri kuwa maabara kadhaa zilizopokea kimakosa sampuli hai za vidudu hatari vya kimeta ni zaidi ya mara mbili ya matarajio ya awali.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 May
Marekani kufanya uchunguzi wa kimeta
Idara ya ulinzi nchini Marekani imeamrisha kufanyika uchunguzi mkubwa kuhusu jinsi mahabara zake zinashughulikia kimeta.
10 years ago
BBCSwahili28 May
Marekani:Jeshi latuma Kimeta kimakosa
Maabara moja ya kijeshi huko Utah imetuma zana hatari za kibayolojia za kimeta kwa kambi 9 za kijeshi na Korea Kusini
10 years ago
BBCSwahili22 May
Marekani yakiri kuua raia
Marekani imekiri, kwa mara ya kwanza kuhusika na mapigano ya anga dhidi ya kikosi cha kiislamu yaliyopelekea baadhi ya raia kuuawa.
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
Marekani kutuma majeshi Iraq
Marekani imetangaza kuwa inatuma wanajeshi 275 nchini Iraq kusaidia kulinda maafisa na Ubalozi wake mjini Bagdad.
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Marekani kutuma jeshi kushambulia IS
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Ash Carter amesema jeshi maalum la Marekani litatumwa kwenda nchini Iraq kupambana na wapiganaji wa Islamic State katika nchi za Iraq na Syria.
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Marekani kutuma vikosi maalum Syria
Waziri wa ulinzi nchini marekani anasema kuwa kikosi maalum cha jeshi la marekani kitatumwa kuendesha oparesheni nchini Syria
11 years ago
BBCSwahili21 Dec
Marekani kutuma mjumbe Sudan Kusini
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani John Kerry amesema atatuma mjumbe maalum nchini Sudan Kusini Bwana Donald Booth.
11 years ago
BBCSwahili04 Mar
Uganda kutuma wanajeshi zaidi Somalia
Askari zaidi wa Uganda wanatarajiwa kwenda mjini Mogadishu Somalia kuimarisha zaidi usalama katika ofisi za Umoja wa Mataifa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania