Marekani kutuma jeshi kushambulia IS
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Ash Carter amesema jeshi maalum la Marekani litatumwa kwenda nchini Iraq kupambana na wapiganaji wa Islamic State katika nchi za Iraq na Syria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Marekani kushambulia IS mjini Tikrit
Rais wa Iraq Fouad Massoum ametoa ishara kwamba jeshi linaloongozwa na Marekani huenda likawashambulia wapiganaji wa IS Tikrit.
11 years ago
BBCSwahili09 Aug
Obama atetea Marekani kushambulia ISIS
Rais Obama asema ni sawa ndege za Marekani kushambulia wapiganaji wa ISIS na mashambulio zaidi yatafanywa ikihitajika
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Obama kutuma jeshi kukuabili Ebola Liberia
Rais Obama atarajiwa kutangaza mikakati ya kuwatuma wanajeshi 3000 Liberia kukabili ebola.
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
Marekani kutuma majeshi Iraq
Marekani imetangaza kuwa inatuma wanajeshi 275 nchini Iraq kusaidia kulinda maafisa na Ubalozi wake mjini Bagdad.
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Marekani kutuma vikosi maalum Syria
Waziri wa ulinzi nchini marekani anasema kuwa kikosi maalum cha jeshi la marekani kitatumwa kuendesha oparesheni nchini Syria
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Marekani yakiri kutuma kimeta zaidi
Maofisa wa ulinzi nchini marekani wamekiri kuwa maabara kadhaa zilizopokea kimakosa sampuli hai za vidudu hatari vya kimeta ni zaidi ya mara mbili ya matarajio ya awali.
11 years ago
BBCSwahili21 Dec
Marekani kutuma mjumbe Sudan Kusini
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani John Kerry amesema atatuma mjumbe maalum nchini Sudan Kusini Bwana Donald Booth.
5 years ago
BBCSwahili16 Jun
Korea Kaskazini imetishia kutuma jeshi eneo salama la mpakani
Dada ya kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini ameagiza jeshi - ambalo nalo limejibu kuwa liko tayai kuchukua hatua.
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Maandamano Marekani: Je Trump anaweza kutuma majeshi kudhibiti vurugu?
Wakati maandamano yakishika kasi nchini Marekani, Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ametishia kutuma majeshi yake ili kutuliza ghasia.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania