Marekani kutuma vikosi maalum Syria
Waziri wa ulinzi nchini marekani anasema kuwa kikosi maalum cha jeshi la marekani kitatumwa kuendesha oparesheni nchini Syria
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 May
Vikosi vya Syria vyalaumiwa kwa uhalifu
Amnesty International limevilaumu vikosi vya serikali ya Syria kwa kutekeleza uhalifu wa kivita kila siku kwenye mji wa Allepo
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Marekani yapeleka vikosi Cameroon
Rais wa Marekani, Barack Obama ametangaza kuwa vikosi vya marekani vyenye silaha vimepelekwa Cameroon
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Vikosi vya Marekani vyawasili Uganda kumsaka Kony
Vikosi vya Marekani kwa ajili ya kumkabili kiongozi wa kundi la Lord Resistance Army (LRA) Joseph Kony vimewasili nchini Uganda huku vikiwa na vifaa vya kisasa zikiwamo ndege zenye uwezo wa kujaza mafuta angani.
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
Marekani kutuma majeshi Iraq
Marekani imetangaza kuwa inatuma wanajeshi 275 nchini Iraq kusaidia kulinda maafisa na Ubalozi wake mjini Bagdad.
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Marekani kutuma jeshi kushambulia IS
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Ash Carter amesema jeshi maalum la Marekani litatumwa kwenda nchini Iraq kupambana na wapiganaji wa Islamic State katika nchi za Iraq na Syria.
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Marekani yakiri kutuma kimeta zaidi
Maofisa wa ulinzi nchini marekani wamekiri kuwa maabara kadhaa zilizopokea kimakosa sampuli hai za vidudu hatari vya kimeta ni zaidi ya mara mbili ya matarajio ya awali.
11 years ago
BBCSwahili21 Dec
Marekani kutuma mjumbe Sudan Kusini
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani John Kerry amesema atatuma mjumbe maalum nchini Sudan Kusini Bwana Donald Booth.
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Maandamano Marekani: Je Trump anaweza kutuma majeshi kudhibiti vurugu?
Wakati maandamano yakishika kasi nchini Marekani, Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ametishia kutuma majeshi yake ili kutuliza ghasia.
11 years ago
BBCSwahili09 May
Marekani 'inaifungia mlango' Syria
Marekani imeiwekea vikwazo benki ya Urusi inayofanya biashara na Syria kuzidisha shinikizo za kiuchumi dhidi ya serikali ya Syria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania