Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAREKANI WAJITAJIRISHA KUPITIA ALIENS

Wiki iliyopita nilianza simulizi hii ya viumbe wa ajabu waitwao Aliens waishio angani. Niliishia pale nilipoanza kueleza ni viumbe gani hawa ambao wamekuwa wakihusishwa na upotevu wa watu na ndege duniani? SASA ENDELEA… Juu ya viumbe hawa wa ajabu waishio angani waitwao Aliens, mifano mingi inayotolewa inalenga kuthibitisha kuwa kweli kuna viumbe wa ajabu ambao wamekuwa wakishindana na binadamu bila wenyewe kujua hivyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Jeb Bush kugombea urais Marekani kupitia Republican.


Jeb Bush gavana wa Florida aliyetangaza kugombea urais wa Marekani 2016

Mwanasiasa wa chama cha Republican, na gavana wa jimbo la Florida, Jeb Bush ametangaza rasmi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania nafasi ya urais wa taifa hilo kubwa duniani kiuchumi kwa tiketi ya chama hicho cha Republican.

Akizungumza katika mkutano wake wa hadhara huko Miami,Jeb ambaye baba yake na kaka yake wamewahi kuongoza Marekani ameubeza utawala wa Rais Obama katika sera zake za mambo ya nje.

Lakini mwandishi wa...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond atajwa kuwania tuzo za IRAWMA, Marekani kupitia ‘Mdogo mdogo’, anachuana na Davido, Awilo Longomba na Bracket

Kwa mara nyingine Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa nchini Marekani, ambapo safari hii wimbo wake wa ‘Mdogo mdogo’ wenye miezi miwili tangu utoke umemuwezesha kuingia kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards). Wimbo wa ‘Mdogo mdogo’ wa Diamond umeingia kwenye tuzo hizo katika kipengele cha ‘Best African Song/Entertainer’. Kwa […]

 

5 years ago

Tech Explorist

Looking for aliens who might be looking for us

Looking for aliens who might be looking for us  Tech ExploristAstronomers want public funds for intelligent life search  BBC NewsRussian Billionaire Supports SETI With Powerful NRAO Capacity to Search For Alien Life  Sputnik InternationalThe Guardian view on looking for aliens: friends in the sky?  The GuardianNew technologies, strategies expanding search for extraterrestrial life  Phys.orgView Full coverage on Google News

 

9 years ago

GPL

ALIENS AKAMATWA, AHIFADHIWA!

Wiki iliyopita nilizungumzia eneo hatari linaloaminika kuwa ni makao ya Aliens au makao makuu ya shetani hapa duniani. Ni Bermuda Triangle inayopatikana Pwani ya Kusini-Mashariki mwa Marekani na ipo katika Bahari ya Atlantiki. Nilieleza ni kwa jinsi gani eneo hilo limepakana sana na Visiwa vya Caribbean na hukabiliwa na upepo mkali na wingu zito ambavyo husababisha mushkeli kwa ndege, meli na binadamu huku Aliens wenyewe...

 

10 years ago

Gama Appeals

Make Sure Aliens Do Not Vote


Make Sure Aliens Do Not Vote - Gama Appeals
AllAfrica.com
Moshi — Kilimanjaro region is bracing for Biometric Voter Registration (BVR) as authorities take extra care to ensure no foreigners are enrolled for the forthcoming general elections in which Tanzanians have been urged to enter and come out as one.

 

5 years ago

Gizmodo

The Search for Aliens Is About to Get a Serious Upgrade

The Search for Aliens Is About to Get a Serious Upgrade  GizmodoView Full coverage on Google News

 

9 years ago

GPL

BIBLIA INASEMAJE KUHUSU ALIENS?

WIKI iliyopita niliishia pale wanasayansi wa Marekani walipoanza kutafuta viumbe wenye uhai (au uwezekano wa uhai) kwenye mwezi na sayari kama Mars lakini hawakufanikiwa. Wakawa wanadhani kwamba kunaweza kukawa na uwezo wa uhai/kuishi kwenye mwezi au sayari nyinginezo. Wanasayansi wenyewe kwa wenyewe wamekuwa wakitofautiana juu ya ni sayari gani hasa inaweza kuwa makazi ya Aliens? SASA ENDELEA… Inaelezwa kwamba, wanasayansi...

 

10 years ago

Daily News

Aliens difficult to identify in Newala


Aliens difficult to identify in Newala
Daily News
THE National Identification Authority (NIDA) has raised concern to Newala District over what they described as a big number of illegal migrants from Mozambique who regard themselves as Tanzanians. Speaking to this newspaper on Sunday, the Chief ...

 

10 years ago

Daily News

Aliens listed in voters register


Aliens listed in voters register
Daily News
TWENTY-SEVEN aliens registered in the permanent voters register (PVR) in Misenyi District were arraigned on Friday, Misenyi District Immigration Officer, Laurent Mutare said. According to Mr Mutare, 10 Rwandese and five Ugandans were nabbed at Kyaka ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani