Marekani yafunga ubalozi Libya
Marekani imeamua kufunga ubalozi wake mjini Tripoli ulio karibu na uwanja wa ndege ambako mapigano ni makali
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Feb
11 years ago
BBCSwahili19 May
Saudi Arabia yafunga ubalozi Libya
Ubalozi wa Saudi Arabia umefunga ofisi zake mjini Tripoli kutokana na otovu wa usalama nchini humo.
10 years ago
GPLMAREKANI YAFUNGA UBALOZI WAKE MJINI BUJUMBURA-BURUNDI
Jengo la ubalozi wa Marekani nchini Burundi lililopo mjini Bujumbura. Ubalozi wa malekani nchini Burundi. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Jeff Rathke. Serikali ya Marekani kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje imetangaza kufunga ubalozi wake wa mjini Bujumbura,…
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Ubalozi wa K Kusini washambuliwa Libya
Watu wasiojulikana wameushambulia ubalozi wa Korea Kusini kwenye mji mkuu wa Libya Tripoli ambapo walinzi waliuawa.
11 years ago
BBCSwahili24 Jul
Marekani yafunga Peace Corps Kenya
Marekani yafunga huduma ya misaada ya matibabu US Peace Corps kufutia tishio la Ugaidi
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Benki ya Marekani yafunga huduma Somalia
Benki moja nchini Marekani inayoshughulikia asilimia themanini ya fedha zinazotumwa nchini Somalia itafunga huduma yake Ijumaa
11 years ago
BBCSwahili02 Aug
Libya:Uingereza kuufunga ubalozi wake.
Uingereza inatarajiwa kuufunga ubalozi wake kwa mda katika mji mkuu wa Tripoli nchini Libya kufuatia mapigano makali
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Marekani yafunga kituo cha ndege Ethiopia
Marekani imefungia kituo cha ndege zisizo na rubani nchini Ethiopia ambacho imekuwa ikitumia kushambulia wanamgambo wa al-Shabab katika taifa jirani la Somalia.
11 years ago
GPLMARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress akikaribishwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh siku ya Alhamisi April 24, 2014 alipotembelea Ubalozi huo na kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Liberata Mulamula (hayupo pichani) Balozi Liberata Mulamula akimtambulisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress kwa Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania