Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubalozi wa K Kusini washambuliwa Libya

Watu wasiojulikana wameushambulia ubalozi wa Korea Kusini kwenye mji mkuu wa Libya Tripoli ambapo walinzi waliuawa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ubalozi wa Marekani washambuliwa Uturuki

Watu wenye silaha wameufyatulia risasi ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Uturuki, Istanbul.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wabunge wa Libya washambuliwa

Wabunge wawili nchini Libya walipigwa risasi, na kuumizwa baada ya kundi la waandamanaji kuwashambulia bungeni katika mji mkuu wa Tripoli.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uwanja wa ndege washambuliwa Libya

Uwanja wa kimataifa wa ndege nchini Libya umelipuliwa kwa roketi, siku moja baada ya mapigano kusababisha uwanja huo kufungwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yafunga ubalozi Libya

Marekani imeamua kufunga ubalozi wake mjini Tripoli ulio karibu na uwanja wa ndege ambako mapigano ni makali

 

10 years ago

BBCSwahili

Utaliana yafunga Ubalozi Libya

Ubalozi wa mwisho wa nchi ya Ulaya nchini Libya wafungwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Saudi Arabia yafunga ubalozi Libya

Ubalozi wa Saudi Arabia umefunga ofisi zake mjini Tripoli kutokana na otovu wa usalama nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Libya:Uingereza kuufunga ubalozi wake.

Uingereza inatarajiwa kuufunga ubalozi wake kwa mda katika mji mkuu wa Tripoli nchini Libya kufuatia mapigano makali

 

11 years ago

Habarileo

Rwanda yatimua maofisa Ubalozi wa Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Louise MushikiwaboSERIKALI ya Rwanda, imefukuza maofisa sita wa ubalozi wa Afrika Kusini muda mfupi baada ya nchi hiyo kuwataka maofisa wa watatu ubalozi wa Rwada kuondoka Afrika Kusini.

 

10 years ago

Habarileo

Ubalozi wajiandaa kuondoa Watanzania Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.UBALOZI wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema umeanza utambuzi wa Watanzania waishio katika maeneo ya hatari nchini humo kabla ya kuanza hatua za kuwaondoa na kuwarejesha nyumbani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani