Utaliana yafunga Ubalozi Libya
Ubalozi wa mwisho wa nchi ya Ulaya nchini Libya wafungwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Jul
Marekani yafunga ubalozi Libya
Marekani imeamua kufunga ubalozi wake mjini Tripoli ulio karibu na uwanja wa ndege ambako mapigano ni makali
11 years ago
BBCSwahili19 May
Saudi Arabia yafunga ubalozi Libya
Ubalozi wa Saudi Arabia umefunga ofisi zake mjini Tripoli kutokana na otovu wa usalama nchini humo.
10 years ago
GPLMAREKANI YAFUNGA UBALOZI WAKE MJINI BUJUMBURA-BURUNDI
Jengo la ubalozi wa Marekani nchini Burundi lililopo mjini Bujumbura. Ubalozi wa malekani nchini Burundi. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Jeff Rathke. Serikali ya Marekani kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje imetangaza kufunga ubalozi wake wa mjini Bujumbura,…
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Ubalozi wa K Kusini washambuliwa Libya
Watu wasiojulikana wameushambulia ubalozi wa Korea Kusini kwenye mji mkuu wa Libya Tripoli ambapo walinzi waliuawa.
11 years ago
BBCSwahili02 Aug
Libya:Uingereza kuufunga ubalozi wake.
Uingereza inatarajiwa kuufunga ubalozi wake kwa mda katika mji mkuu wa Tripoli nchini Libya kufuatia mapigano makali
5 years ago
CCM BlogSERIKALI YAFUNGA SHULE ZA AWALI HADI KIDATO CHA SITA KWA SIKU 30 KUIHAMI NCHI NA CORONA, YAFUNGA PIA MIKUSANYIKO YA SIASA NA MICHEZO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua za awali zilizochukuliwa na Serikali kutokana na kuwepo nchini virusi vya ugonjwa wa Corona.
DAR ES SALAAM, Tanzania
Serikali imezifunga shule za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 na pia kuzuia mikusanyiko yoyote ikiwemo ya siasa na michezo ili kuihami nchi na ugonjwa wa Corona ambao umethibishwa kuingia nchini kufuatia kupatikana kwa mgonjwa mmoja wa ugonjwa huo hapa nchini.
Hatua hizo...
11 years ago
BBCSwahili19 Jul
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Utaliana na Malta zalalama khs wakimbizi
Utaliana na Malta zasema zimeachwa kubeba jukumu la maafa ya wakimbizi katika Mediterranean
11 years ago
Michuziujumbe wa ubalozi mdogo wa malawi Dubai watembelea ubalozi mdogo wa tanzania Dubai
Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania,Dubai leo AMEKUTANA NA MHESHIMIWA GELINA, BALOZI MDOGO WA MALAWI, DUBAI NA UJUMBE WAKE KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MALAWI.
Mheshimiwa Omar Mjenga akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake. Kulia kwake ni Mheshimiwa Bi Gelina Balozi Mdogo wa Malawi. Na kulia kwa Mheshimiwa Gelina ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu (DAP) kutoka wizara ya mambo ya nje ya Malawi. Kushoto kabisa mwa picha ni Mhasibu Mkuu wa wizara hiyo na kulia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania