Wabunge wa Libya washambuliwa
Wabunge wawili nchini Libya walipigwa risasi, na kuumizwa baada ya kundi la waandamanaji kuwashambulia bungeni katika mji mkuu wa Tripoli.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Uwanja wa ndege washambuliwa Libya
Uwanja wa kimataifa wa ndege nchini Libya umelipuliwa kwa roketi, siku moja baada ya mapigano kusababisha uwanja huo kufungwa.
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Ubalozi wa K Kusini washambuliwa Libya
Watu wasiojulikana wameushambulia ubalozi wa Korea Kusini kwenye mji mkuu wa Libya Tripoli ambapo walinzi waliuawa.
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Raia wa Libya kuwachagua wabunge wapya
Upigaji kura umeanza nchini Libya ambapo raia wanachagua bunge jipya.
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Wanajeshi washambuliwa Misri
Televisheni ya taifa ya Misri imetangaza kuwa mwanajeshi 1 amepigwa risasi na kuuawa na watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki na kufunika nyuso zao
11 years ago
BBCSwahili17 Jan
Waandamanaji washambuliwa Bangkok
Watu wapatao ishirini na wanane wamejeruhiwa katika shambulio dhidi ya waandamanaji wanaoipinga serikali mjini Bangkok, Thailand.
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Msikiti washambuliwa Sweden
Polisi nchini Sweden wanamtafuta mshukiwa mmoja katika kile ambacho wanamini kuwa shambulizi jengine kwenye msikiti.
10 years ago
BBCSwahili30 Aug
Askari wa UN Syria washambuliwa
Askari kutoka Philippines wa kuweka amani baina ya Syria na Israel washambuliwa na wapiganaji wa Syria
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Waumini washambuliwa Jerusalem
Takriban waisreli wanne wameuawa na wnegine 8 kujeruhiwa katika kile polisi wanasema ni shambulio la kigaidi dhidi ya Sinagogi eneo la magharibi ya Jerusalem.
10 years ago
BBCSwahili05 Apr
Wachezaji wa Fenerbahce washambuliwa
Basi la kilabu ya Fenerbahce lilifyatuliwa risasi na wapiganaji baada ya kilabu hiyo ya Uturuki kupata ushindi wa mabao 5-1.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania