Raia wa Libya kuwachagua wabunge wapya
Upigaji kura umeanza nchini Libya ambapo raia wanachagua bunge jipya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Dec
Raia wa Japan kuwachagua wabunge wapya
10 years ago
Habarileo17 May
Raia wapya wakamatwa na nyara za serikali
POLISI mkoani Katavi imewakamata raia wapya watatu waliokuwa wakimbizi kutoka Burundi kwa kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo.
10 years ago
Habarileo28 Mar
AG atetea wabunge wapya
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, George Masaju ametetea uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete, wa kuteua wabunge wawili wakati zimebaki siku chache kabla ya kuvunjwa Bunge, huku Spika wa Bunge Anne Makinda, akisema hawatapata kiinua mgongo sawa.
10 years ago
Mtanzania27 Mar
JK ateua wabunge wapya
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amewateua Dk. Grace Puja na Innocent Sebba kuwa wabunge wapya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taarifa iliyotolewa jijini Dar es Salaam jana na Mwandishi Msaidizi wa Rais, Premi Kibanga, ilisema uteuzi huo unatokana na mamlaka aliyopewa rais na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 66 (I) (e).
Alisema ibara hiyo, inampa mamlaka rais ya kuteua wabunge wasiozidi 10 na kwamba uteuzi wa wabunge hao ulianza Machi 20,...
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Misri kuwaondosha raia wake Libya
10 years ago
BBCSwahili26 Oct
Tunisia yawachagua wabunge wapya
10 years ago
Mwananchi27 Mar
JK ateua wabunge wawili wapya
10 years ago
Michuzi26 Mar
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Wabunge wa Libya washambuliwa