Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia wa Japan kuwachagua wabunge wapya

Raia wa Japan wananapiga kura hii leo katika uchaguzi wa ubunge ulioitishwa mwezi uliopita na waziri mkuu Shinzo Abe

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa Libya kuwachagua wabunge wapya

Upigaji kura umeanza nchini Libya ambapo raia wanachagua bunge jipya.

 

10 years ago

Habarileo

Raia wapya wakamatwa na nyara za serikali

POLISI mkoani Katavi imewakamata raia wapya watatu waliokuwa wakimbizi kutoka Burundi kwa kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Australia yaomba Japan kutowaua raia wake

Australia imemuandikia rais wa Indonesia ikimuomba awasamehe raia wa Australia walipatikana na hatia ya kuendesha biashara ya madawa ya kulevya

 

10 years ago

Habarileo

AG atetea wabunge wapya

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George MasajuMWANASHERIA Mkuu wa Serikali, George Masaju ametetea uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete, wa kuteua wabunge wawili wakati zimebaki siku chache kabla ya kuvunjwa Bunge, huku Spika wa Bunge Anne Makinda, akisema hawatapata kiinua mgongo sawa.

 

10 years ago

Mtanzania

JK ateua wabunge wapya

rais-kikweteNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amewateua Dk. Grace Puja na Innocent Sebba kuwa wabunge wapya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taarifa iliyotolewa jijini Dar es Salaam jana na Mwandishi Msaidizi wa Rais, Premi Kibanga, ilisema uteuzi huo unatokana na mamlaka aliyopewa rais na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 66 (I) (e).
Alisema ibara hiyo, inampa mamlaka rais ya kuteua wabunge wasiozidi 10 na kwamba uteuzi wa wabunge hao ulianza Machi 20,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia yawachagua wabunge wapya

Raia nchini Tunisia wanapiga kura hii leo kwenye uchaguzi wa ubunge ikiwa ni karibu miaka minne tangu yafanyike mapinduzi,

 

10 years ago

Mwananchi

JK ateua wabunge wawili wapya

>Ikiwa imebaki takriban miezi minne kabla ya kuvunjwa kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete amewateua wabunge wawili wapya watakaojumuika na wengine katika Bunge hilo.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

WABUNGE WAPYA WAAPISHWA LEO MJINI DODOMA

Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dkt. Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015. Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani