Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani yaiibana Ghana 2-1

Marekani yalipiza kisasi cha kushindwa na Ghana 2-1katika kombe la dunia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ghana yakabiliana na Marekani

Black stars ya Ghana inafungua kampeini yake dhidi ya Marekani katika uwanja wa Estadio das Dunas ulioko Natal

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA GHANA: NATUMAI MAUAJI YA FLOYD YATACHOCHEA MABADILIKO MAREKANI

Rais wa Ghana: Natumai mauaji ya Floyd yatachochea mabadiliko Marekani Rais wa Ghana ameashiria kuhusu mauaji ya kutisha ya Mmarekani mmoja mwenye asili ya Afrika katika mji wa Minneapolis nchini Marekani na kusema kuwa, "natumai kifo cha George Floyd kitakuwa chachu ya madiliko ya kudumu ya matatizo ya chuki na ubaguzi."Nana Addo Dankwa Akufo-Addo ameeleza juu ya kushtushwa na kusikitishwa kwake na mauaji ya Floyd na kueleza bayana kuwa, watu weusi kote duniani wameghadhabishwa na kusikitishwa na mauaji hayo ya kikatili dhidi ya mtu mweusi ambaye hakuwa na...

 

11 years ago

Michuzi

marekani yaifunga Ghana 2-1 kulipiza kisasi cha kutolewa nayo mapema mwaka 2010 afrika kusini

 Kocha wa Marekani ambaye ni mshambuliaji nyota wa zamani wa Ujerumani Jurgen Klinsmann na wachezaji wake wakishangilia bao la kwanza lililofungwa sekunde ya kwanza na Clint Dempsey pichani chini Goli la dakika ya kwanza lililowekwa kimiani na Clint Dempsey na lingine la dakika za lala salama la rizevu John Brooks katika mchezo  uliopigwa usiku uliopita mjini Natal, Brazil,  ni magoli ambayo yameiwezesha Marekani kulipiza kisasi dhidi ya Ghana waliowafunga 2-1 na kuwafungasha virago...

 

10 years ago

Vijimambo

GHANA 3-0 EQUATORIAL GUINEA AFCON 2015 GHANA KUCHEZA NA IVORY COAST FINAL JUMAPILI.

 wachezaji wa Ghana  wakishangilia ushindi na kutinga fainali baada ya kuwakunja wenyewe Equatorial Guinea 3-0  kwaiyo sasa  Ghana kukutana na Ivory Coast tarehe 8 kwenye fainali. Baada ya kipenga cha mwisho wenyewe wa mashindano hayo ya AFCON walikuwa wamekubali kipigo cha magoli matatu ndipo washabiki walivyoanzisha timbwili hili uwanjani hapo.Hali ilionekana siyo shwari toka kipindi cha kwanza pale Ghana walivyo pewa penati ya mapema hii hapa ilikuwa baada ya dk 45 za kwanza washabiki...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Sababu 4 zilizofanya kifo cha M'marekani mweusi kusababisha maandamano makubwa Marekani

Wakati Donald Trump alipotoa onyo lake , pengine hakufikiria kwamba atalazimika kuishi na hali ngumu kama inayoendeelea nchini Marekani.

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani