Marekani yaiondolea Liberia vikwazo
Marekani imeiondolea Liberia vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa mwaka 2003, huku Marekani ikiisifu nchi hiyo kwa kustawisha demokrasia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili19 Sep
Marekani yailegezea Cuba vikwazo
Rais wa Marekani Barack Obama amezungumza na rais wa Cuba Raul Castro muda mfupi baada ya marekani kulegeza vikwazo
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Cuba kuondolewa vikwazo na Marekani?
Rais wa Cuba, Raul Castro, amemhimiza rais Obama wa Marekani kutumia mamlaka yake ya urais kuondoa vikwazo vya kiuchumi
11 years ago
BBCSwahili20 Jun
Marekani yaiwekea vikwazo Uganda
Marekani yaiwekea uganda vikwazo kufuatia sheria kali dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Marekani yaonya Urusi kuhusu vikwazo
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameitaka Urusi kupunguza ukali wa matamshi yake la sivyo iwekewe vikwazo zaidi.
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Maduro aitaka Marekani kuondoa vikwazo
Rais Nicholas Maduro wa Venezuela anampelekea barua rais Obama kumtaka awaondolee vikwazo maafisa wa nchi yake.
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Marekani yaiwekea Urusi vikwazo zaidi
Marekani yaiadhibu Urusi kwa vikwazo zaidi vya kiuchumi kutokana na kuhusika kwa Urusi katika mzozo wa Ukraine.
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Marekani kuwekea vikwazo wakuu wanne Burundi
Marekani imesema itawawekea vikwazo maafisa wakuu wanne wa sasa na wa zamani Burundi kuhusiana na machafuko ambayo yamekuwa yakiendelea nchini humo.
9 years ago
Mwananchi28 Sep
MCC yaiondolea kikwazo cha msaada Tanzania
Hatimaye Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Milenia (MCC) ya Marekani imeridhia kuipatia Tanzania msaada wa Dola 472.8 milioni (Sh992.8 bilioni), zilizokuwa zimezuiliwa kutokana na jitihada zisizoridhisha za kupambana na rushwa.
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Wafanyabiashara walia na vikwazo
Baadhi ya wafanyabiashara wamesema vikwazo vya ndani vya kufanya biashara vinawakatisha tamaa ya kuchangamkia masoko kwenye nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania