Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani:Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii

Rais wa Marekani Donald Trump atishia kudhibiti au kufunga kabisa mitandao ya kjamii nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mkuu wa Wilaya Karatu atishia kufunga machinjio

Mkuu wa Wilaya ya Karatu ameiagiza Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA kuyafunga machinjio ya Karatu ifikapo tarehe 23 mwezi huu endapo Halmashauri itashindwa kuweka miundombinu ya maji katika eneo hilo.

Agizo hilo linatolewa baada ya Mkuu wa Wilaya kutembelea eneo hilo la machinjio na kukuta hali mbaya ya miundombinu ikiwemo kutokuwepo milango, kukosekana kwa maji, ubovu wa sakafu pamoja na madirisha hali inayoweza kusababisha mlipuko wa magonjwa.

Star tv ilitembelea eneo hilo la machijio na...

 

10 years ago

Habarileo

Mitandao ya kijamii wapewa somo

Innocent MungyWATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini wametakiwa kujiandaa kutumia sheria mpya ya mawasiliano iliyopitishwa bungeni hivi karibuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni zatawala mitandao ya kijamii

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikipamba moto majukwaani, matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi kwa makundi na watu binafsi kuitumia kuwanadi wagombea wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari.

 

9 years ago

Mwananchi

Mpinga ajivunia mitandao ya kijamii

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga amesema mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook na Instagram imesaidia kupunguza ajali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Kwani mtindo wa nywele au ushungi wa mtu unasema chochote kuhusu tabia au mwenendo wa mtu huyo?

 

10 years ago

GPL

PICHA ZA LULU ZATIKISA MITANDAO YA KIJAMII

Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael Kimemeta 'Lulu' akiwa katika mapozi tofauti baada ya kuachia picha hizi kupitia account yake ya Instagram siku ya jana na kupelekea kutikisa katika mitandao ya kijamii huku wapenzi wake wakimuita Kim Kardashian wa bongo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani