Mkuu wa Wilaya Karatu atishia kufunga machinjio
Mkuu wa Wilaya ya Karatu ameiagiza Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA kuyafunga machinjio ya Karatu ifikapo tarehe 23 mwezi huu endapo Halmashauri itashindwa kuweka miundombinu ya maji katika eneo hilo.
Agizo hilo linatolewa baada ya Mkuu wa Wilaya kutembelea eneo hilo la machinjio na kukuta hali mbaya ya miundombinu ikiwemo kutokuwepo milango, kukosekana kwa maji, ubovu wa sakafu pamoja na madirisha hali inayoweza kusababisha mlipuko wa magonjwa.
Star tv ilitembelea eneo hilo la machijio na...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili28 May
Marekani:Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii
9 years ago
Mwananchi08 Sep
TOCHI YA MOROGORO : Pongezi TFDA kufunga machinjio Morogoro
10 years ago
Michuzi
Baadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio - Waziri Mahenge

Baadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio, hali ambayo huatarisha afya za wakazi wanaozunguka maeneo hayo ikiwemo pamoja na wafanyakazi machinjioni humo.
Hayo yalibainika wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu ya Rais - Mazingira, Mh. Binilith Mahenge alipofanya ziara ya ukaguzi mazingira katika baadhi ya machinjio hayo jijini humo leo.
Katika ziara hiyo, Mh. Mahenge alitembelea machinjio ya Ukonga na...
11 years ago
Michuzi21 Feb
MKUU WA WILAYA YA HAI AAINISHA MAAFA YA WILAYA yake, AOMBA MISAADA YA HALI NA MALI
10 years ago
Dewji Blog26 May
JK amemteua Bwana Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma, ,afanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya
10 years ago
VijimamboMWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA WILAYA YA KINONDONI MKUU WA WILAYA ATANGAZA AJIRA YA PAPO KWA PAPO
9 years ago
Michuzi
MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA ND.JABU KHAMIS MTWANA YALIYOFANYIKA JANA KIJINI KWAO WILAYA YA MICHEWENI

