MARIE STOPES TANZANIA YAJIVUNIA USHIRIKIANO WAKE NA SERIKALI
![](http://2.bp.blogspot.com/-tskktoxdiA4/VCn95P0D8II/AAAAAAAGmko/tdOc78UTrmc/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York Ushirikiano na uhusiano mzuri baina ya Serikali na Shirika lisilo la Kiserikali la Marie Stopes umeliwezesha shirika hilo kuwafikishia wananchi wengi zaidi huduma mbalimbali za afya zikiwamo za uzazi wa mpango Hayo yameelezwa na Mwakilishi Mkazi wa Marie Stopes nchini Tanzania, Bi. Ulla E. Muller wakati alipomtembelea na kufanya mazungumzo na Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo30 Sep
MARIE STOPES YAJIVUNIA UHUSIWANO WAKE NA SERIKALI
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Kbk7iVTeoNY/U4665XQ7_sI/AAAAAAAFndU/eNy_LuFHlZ4/s72-c/unnamed+(85).jpg)
TANZANIA YAJIVUNIA USHIRIKIANO WAKE NA UNICEF
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Marie Stopes Tanzania yatenga Bilioni 37.2 kushughulikia miradi uzazi mikoa ya minne
Kaimu Mkurugenzi wa Marie Stopes Tanzania, Mwemezi Ngemera akizungumza na wakazi wa Ilongero kuhusu huduma za Mkoba za Uzazi wa Mpango.
Na Nathaniel Limu, Singida
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Marie Stopes Tanzania (MST) linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 37.2 bilioni (Pounds 14 milioni), kugharamia mradi wa uzazi wa mpango wa uzazi wa mpango na elimu ya afya ya uzazi kwa vijana utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka mine kuanzia sasa katika mikoa ya Singida, Kilimanjaro, Manyara na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-P2HxPQXvcQ4/VAWiSlonlUI/AAAAAAAGbNg/YZpAkiBrEVs/s72-c/unnamed%2B(39).jpg)
Lady Jaydee aungana na Marie Stopes Tanzania kwenye kampeni ya uzazi wa mpango
![](http://4.bp.blogspot.com/-P2HxPQXvcQ4/VAWiSlonlUI/AAAAAAAGbNg/YZpAkiBrEVs/s1600/unnamed%2B(39).jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Marie Stopes Tanzania yatenga Bilioni 37.2 kushughulikia miradi ya uzazi mikoa ya minne
Kaimu Mkurugenzi wa Marie Stopes Tanzania, Mwemezi Ngemera akizungumza na wakazi wa Ilongero kuhusu huduma za Mkoba za Uzazi wa Mpango.
Na Nathaniel Limu, Singida
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Marie Stopes Tanzania (MST) linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 37.2 bilioni (Pounds 14 milioni), kugharamia mradi wa uzazi wa mpango wa uzazi wa mpango na elimu ya afya ya uzazi kwa vijana utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka mine kuanzia sasa katika mikoa ya Singida, Kilimanjaro, Manyara na...
11 years ago
Daily News29 Jun
Marie Stopes commits to promote beauty pageant
Daily News
MARIE Stopes Tanzania has expressed its commitment in partnering with the Miss Chang'ombe competition because they believe in young women ability to achieve great things, both for themselves and for Tanzania. Speaking on behalf of Marie Stopes ...
10 years ago
TheCitizen01 Sep
LAKE ZONE: Marie Stopes opens new health facility
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
CHADEMA yajivunia ushirikiano na wananchi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza kufurahishwa na ushirikiano uliopo baina ya chama hicho na wananchi, na kusema hatua hiyo itafanikisha kuiangusha CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...