MARIE STOPES YAJIVUNIA UHUSIWANO WAKE NA SERIKALI
Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Tuvako Manongi akiwa na Mwakilishi Mkazi wa MARIE STOPES TANZANIA Bi. Ulla E. Muller aliyefika Uwakilishi wa Kudumu na kisha kuwa na mazungumzo na Balozi. Bi. Muller pamoja na kuelezea shughuli za Shirika lake amesema anajivunia na kuridhishwa na ushirikiano uliopo baina ya Serikali na Shirika lake, ushirikiano ambao anasema amekuwa akiuelezea kila alipokutana na wafadhili wanaosaidia miradi mbalimbali nchini Tanzania. Na ...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tskktoxdiA4/VCn95P0D8II/AAAAAAAGmko/tdOc78UTrmc/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
MARIE STOPES TANZANIA YAJIVUNIA USHIRIKIANO WAKE NA SERIKALI
11 years ago
Daily News29 Jun
Marie Stopes commits to promote beauty pageant
Daily News
MARIE Stopes Tanzania has expressed its commitment in partnering with the Miss Chang'ombe competition because they believe in young women ability to achieve great things, both for themselves and for Tanzania. Speaking on behalf of Marie Stopes ...
10 years ago
TheCitizen01 Sep
LAKE ZONE: Marie Stopes opens new health facility
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Marie Stopes Tanzania yatenga Bilioni 37.2 kushughulikia miradi uzazi mikoa ya minne
Kaimu Mkurugenzi wa Marie Stopes Tanzania, Mwemezi Ngemera akizungumza na wakazi wa Ilongero kuhusu huduma za Mkoba za Uzazi wa Mpango.
Na Nathaniel Limu, Singida
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Marie Stopes Tanzania (MST) linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 37.2 bilioni (Pounds 14 milioni), kugharamia mradi wa uzazi wa mpango wa uzazi wa mpango na elimu ya afya ya uzazi kwa vijana utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka mine kuanzia sasa katika mikoa ya Singida, Kilimanjaro, Manyara na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-P2HxPQXvcQ4/VAWiSlonlUI/AAAAAAAGbNg/YZpAkiBrEVs/s72-c/unnamed%2B(39).jpg)
Lady Jaydee aungana na Marie Stopes Tanzania kwenye kampeni ya uzazi wa mpango
![](http://4.bp.blogspot.com/-P2HxPQXvcQ4/VAWiSlonlUI/AAAAAAAGbNg/YZpAkiBrEVs/s1600/unnamed%2B(39).jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Marie Stopes Tanzania yatenga Bilioni 37.2 kushughulikia miradi ya uzazi mikoa ya minne
Kaimu Mkurugenzi wa Marie Stopes Tanzania, Mwemezi Ngemera akizungumza na wakazi wa Ilongero kuhusu huduma za Mkoba za Uzazi wa Mpango.
Na Nathaniel Limu, Singida
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Marie Stopes Tanzania (MST) linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 37.2 bilioni (Pounds 14 milioni), kugharamia mradi wa uzazi wa mpango wa uzazi wa mpango na elimu ya afya ya uzazi kwa vijana utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka mine kuanzia sasa katika mikoa ya Singida, Kilimanjaro, Manyara na...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Kbk7iVTeoNY/U4665XQ7_sI/AAAAAAAFndU/eNy_LuFHlZ4/s72-c/unnamed+(85).jpg)
TANZANIA YAJIVUNIA USHIRIKIANO WAKE NA UNICEF
9 years ago
Dewji Blog15 Aug
Bodi ya Mikopo yajivunia miaka 10 ya ufanisi wake
Bw. Cosmas Mwaisobwa (katikati), Mkurugenzi Msaidizi (Habari, Elimu na Mawasiliano) wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akiongea na wanahabari jijini Dar es Salaam (Ijumaa, Agosti 14, 2015). Wengine ni Bw. Omega Ngole, Meneja kutoka HESLB na Bi. Fatma Salum (kulia), Afisa Habari kutoka Idara ya Habari (MAELEZO). (Picha na HESLB).
Na Mwandishi Wetu
Idadi ya wanafunzi wanaopata mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongezeka kutoka 42,729...