Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAJIVUNIA USHIRIKIANO WAKE NA UNICEF

Na Mwandishi Maalum, New York  Ushirikiano wa kimaendeleo baina ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mfuko wa Umoja wa Mataifa unaohudumiwa Watoto ( UNICEF) umefanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali inayolenga katika utoaji huduma endelevu kwa watoto .  Kauli hiyo imetolewa siku ya jumanne na Bibi. Anna Maembe, Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto , anayeiwakilisha Tanzania katika mkutano wa Mwaka wa Bodi tendaji ya UNICEF unaofanyika hapa ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MARIE STOPES TANZANIA YAJIVUNIA USHIRIKIANO WAKE NA SERIKALI

 Na Mwandishi Maalum, New York  Ushirikiano na uhusiano mzuri baina ya Serikali na Shirika lisilo la Kiserikali la Marie Stopes umeliwezesha shirika hilo kuwafikishia wananchi wengi zaidi huduma mbalimbali za afya zikiwamo za uzazi wa mpango Hayo yameelezwa  na Mwakilishi Mkazi wa Marie Stopes nchini Tanzania, Bi. Ulla E. Muller wakati alipomtembelea na kufanya mazungumzo na Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yajivunia ushirikiano na wananchi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza kufurahishwa na ushirikiano uliopo baina ya chama hicho na wananchi, na kusema hatua hiyo itafanikisha kuiangusha CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...

 

9 years ago

StarTV

Tanzania na Marekani zakubaliana kuendeleza ushirikiano wake

Rais wa Tanzania DK Jakaya Kikwete ameihakikishia Serikali ya Marekani kuwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili hautabadilika, bali utaendelea kuboreshwa zaidi hata baada ya Serikali mpya kuingia madarakani.

Aidha ameiomba Marekani kuiunga mkono Serikali ijayo pamoja na maendeleo ya Tanzania na watu wake, kama ilivyofanya katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, kwa kuchangia uchumi wa nchi kupanda kutoka dola bilioni 14.4 hadi kufikia dola bilioni 50.

 

Rais Kikwete ameyasema hayo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Bodi ya Mikopo yajivunia miaka 10 ya ufanisi wake

DSC_0013

Bw. Cosmas Mwaisobwa (katikati), Mkurugenzi Msaidizi (Habari, Elimu na Mawasiliano) wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akiongea na wanahabari jijini Dar es Salaam (Ijumaa, Agosti 14, 2015). Wengine ni Bw. Omega Ngole, Meneja kutoka HESLB na Bi. Fatma Salum (kulia), Afisa Habari kutoka Idara ya Habari (MAELEZO).  (Picha na HESLB).

Na Mwandishi Wetu

Idadi ya wanafunzi wanaopata mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongezeka kutoka 42,729...

 

10 years ago

Vijimambo

MARIE STOPES YAJIVUNIA UHUSIWANO WAKE NA SERIKALI

Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Tuvako Manongi akiwa na Mwakilishi Mkazi wa MARIE STOPES TANZANIA Bi. Ulla E. Muller aliyefika Uwakilishi wa Kudumu na kisha kuwa na mazungumzo na Balozi. Bi. Muller pamoja na kuelezea shughuli za Shirika lake amesema anajivunia na kuridhishwa na ushirikiano uliopo baina ya Serikali na Shirika lake, ushirikiano ambao anasema amekuwa akiuelezea kila alipokutana na wafadhili wanaosaidia miradi mbalimbali nchini Tanzania. Na  ...

 

10 years ago

Mtanzania

Tanzania yajivunia miaka 20 ya‘Beijing’

waziri simbaNa Mwandishi Maalum, New York
USHIRIKI wa askari wanawake katika operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa (UN) ni baadhi ya mafanikio ambayo Tanzania inajivunia miaka 20 baada ya mkutano wa historia wa wanawake uliofanyika Beijing, China mwaka 1995.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba aliyasema hayo juzi alipotoa tathmini na changamoto za utekelezaji wa maazimio muhimu yaliyofikiwa katika mkutano huo wa wanawake.
Waziri Simba ameongoza ujumbe wa Tanzania...

 

10 years ago

AllAfrica.Com

In Tanzania, Unicef Dispatching Working to Halt Cholera Outbreak Among ...


In Tanzania, Unicef Dispatching Working to Halt Cholera Outbreak Among ...
AllAfrica.com
The United Nations Children's Fund (UNICEF) is rushing critical relief supplies to Tanzania's north-western border with Burundi amid a devastating cholera outbreak affecting tens of thousands of refugees there. In a press release issued earlier today, UNICEF ...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yajivunia utekelezaji malengo ya milenia

>Zikiwa zimebaki siku zaidi ya 500 kufikia   hitimisho la  utekelezaji wa  Malengo ya  Maendeleo ya Milenia (MDGs),   Tanzania  imebainisha  kuwa, mafanikio yake katika utekelezaji wa malengo hayo  kumetokana na  kujituma kwa  Serikali  ambako  kulivutia washirika wa maendeleo.

 

11 years ago

Dewji Blog

UNICEF Tanzania Appoints AY and Faraja K. Nyalandu as Ambassadors to Champion Violence against Children

ambwene

Hai District Launches One Stop Center to Address Violence against Women and Children

UNICEF Tanzania Appoints AY and Faraja K. Nyalandu as Ambassadors to Champion Violence against Children

To mark the Day of the African Child on 16 June, Hai District, along with government officials, UNICEF and Save the Children, launched a One Stop Center at the Hai District Hospital, which will help to provide support to women and children who have been affected by violence.

“With the One Stop Centre...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani