Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yajivunia miaka 20 ya‘Beijing’

waziri simbaNa Mwandishi Maalum, New York
USHIRIKI wa askari wanawake katika operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa (UN) ni baadhi ya mafanikio ambayo Tanzania inajivunia miaka 20 baada ya mkutano wa historia wa wanawake uliofanyika Beijing, China mwaka 1995.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba aliyasema hayo juzi alipotoa tathmini na changamoto za utekelezaji wa maazimio muhimu yaliyofikiwa katika mkutano huo wa wanawake.
Waziri Simba ameongoza ujumbe wa Tanzania...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CHINA HUKO BEIJING

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Ndugu Li Yuanchao wakati walipokutana kwenye Sherehe ya kutimiza Miaka 50 ya Uhusiano wa Kidiplomasia baina ya Tanzania na China. Sherehe hizo zilizoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini China na kufanyika jijini Beijing leo
 Makamu wa Rais wa China Ndugu Li Yuanchao akigonganisha  glasi ikiwa ni ishara ya kusherehekea kutimiza miaka 50 ya ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China. Sherehe...

 

9 years ago

GPL

NMB YAJIVUNIA MIAKA 10 YA MAFANIKIO

Mkurugenzi wa NMB - Ineke Bussemaker (katikati) akizungumza na Wajumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (Tanzania Editors Forum) jijini Dar es Salaam jana kuhusu maadhimisho ya miaka 10 ya benki hiyo tangu ilipobinafsishwa na hatua ilizopiga katika maendeleo ya benki. Wajumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (Tanzania Editors Forum) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (katikati) jijini Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DCB yajivunia miaka 12 ya mafanikio

WAKATI ikianza wengi walidhani haitafika mbali kutokana na kumilikiwa na wananchi. Dhati waliyoiweka katika mioyo yao na kuongozwa na viongozi waliohakikisha inanyanyuka na kutoa faida ndio imeifanya Benki ya Wananchi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

PSPF yajivunia miaka 15 ya utoaji huduma

MFUKO wa Pensheni wa PSPF ulianzishwa kwa sheria ya mafao ya hitimisho la kazi kwa watumishi wa umma namba 2 ya mwaka 1999. Tangu kuanzishwa kwake hadi mwaka 2008 PSPF...

 

11 years ago

Michuzi

sherehe za miaka 50 ya Muungano zafana jijini Beijing, China

 Keki Maalumu kwa ajili ya sherehe hio  Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akiwa na mgeni rasmi wa sherehe za miaka 50 ya Muungano jijini Beijing, China,  makamu mwenyekiti wa kamati kuu ya baraza la ushauri wa kisiasa ya watu China Mhe. Chen Yuan, wakizungumzia mahusiano yaliyopo kati ya CHina Na Tanzania kwa miaka 50 sasa.  Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akihutubia wakati wa sherehe za miaka 50 ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Bodi ya Mikopo yajivunia miaka 10 ya ufanisi wake

DSC_0013

Bw. Cosmas Mwaisobwa (katikati), Mkurugenzi Msaidizi (Habari, Elimu na Mawasiliano) wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akiongea na wanahabari jijini Dar es Salaam (Ijumaa, Agosti 14, 2015). Wengine ni Bw. Omega Ngole, Meneja kutoka HESLB na Bi. Fatma Salum (kulia), Afisa Habari kutoka Idara ya Habari (MAELEZO).  (Picha na HESLB).

Na Mwandishi Wetu

Idadi ya wanafunzi wanaopata mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongezeka kutoka 42,729...

 

10 years ago

Michuzi

MIAKA 20 BAADA YA BEIJING WANAWAKE WAMEPIGA HATUA-BAN KI MOON

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akifungua Mkutano wa 59 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hadhi ya Wanawake ( CSW), Mkutano huu wa wiki mbili ulioanza siku ya jumatatu, unafanyika ikiwa ni miaka 20 tangu kufanyika kwa mkutano wa kihistoria wa wanawake uliofanyika Beijing, China mwaka 1995. Mkutano huo uliokuwa chini ya Ukatibu Mkuu wa Dr. Gertrude Mongella, uliweka misingi mbalimbali iliyolenga katika kusimamia na kutetea haki mbalimbali za mwanamke zikiwamo za usawa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO ZAFANYIKA MJINI BEIJING, CHINA

Balozi wa Tanzania nchini China, Mh Abdulrahman Shimbo akitoa mawaidha kwa waalikwa katika sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) zilziofanyika Ubalozini mjini hapa. Mh Balozi Shimbo alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliyoandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Beijing (TZ-SUB).(Picha na Salum Ramadhan)Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi Beijing (TZ-SUB), Ireneus Kagashe (kulia) akitoa utangulizi katika sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani